Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,626
- 4,327
Akiwaaibisha kwa wapu.mbavu kama wewe kuna shida gani?nimecheka sana yaaani hata aliyoongea hayaendani na mkutano..eti anachukia neno demokrasia hata wanaohubili demokrasia kwao haipo,eti hata katiba mpya haina haja kwani na wao hawana katiba mpya yaaani huyu kijana atawaabisha sana kwenye mikutano ya aina hii asipewe nafasi ya kuongea
Mtu mwenyewe ushasema ni Makonda,... sijuwi ulitarajia nini zaidi ya hil?Ni hotuba zinazoendelea katika mkutano wa Kimataifa wa Madini.
Kama mtanzania, hili haliko sawa sana ukizingatia sisi ndo wenyeji.
Wageni wanataraji kunywa,kula,kustarehe na kulala hapa kwetu.
Kwa kauli hii, si vyema tuitoe sisi wenyeji. Inaashiria kama vile tuna uzoefu fulani na hizo "biological weapons".
nimecheka sana yaaani hata aliyoongea hayaendani na mkutano..eti anachukia neno demokrasia hata wanaohubili demokrasia kwao haipo,eti hata katiba mpya haina haja kwani na wao hawana katiba mpya yaaani huyu kijana atawaabisha sana kwenye mikutano ya aina hii asipewe nafasi ya kuongea
Ni hotuba zinazoendelea katika mkutano wa Kimataifa wa Madini.
Kama mtanzania, hili haliko sawa sana ukizingatia sisi ndo wenyeji.
Wageni wanataraji kunywa,kula,kustarehe na kulala hapa kwetu.
Kwa kauli hii, si vyema tuitoe sisi wenyeji. Inaashiria kama vile tuna uzoefu fulani na hizo "biological weapons".
Itategemea na tafsiri yako,kila mmoja anatafsiri yake,ngoja tuone michango ya wengine
sikupata bahati ya kufuatilia, hivi alikuwa anaongea kizungu au lugha ya taifa?
In God we Trust
Wajua yawezekana ukawa na uwezo sawa na bashite? Hope si tusi kwakoMnatoa kauli kama hii ili watu wajijadhari vipi ? Weapon kama hizo zinaweza kuwepo na mtu wa kawaida ni vigumu kufanya lolote..., wenyewe kama nchi wenye intelijensia ndio wanaweza kujua threat ipo wapi na wapi pa kuizima kuliko kuanza kuleta panic kwa watu.., isije ikawa ya Sadam Hussien na Weapons of Mass Destruction
Mkuu si kulikuwa na wenzetu wa mataifa ya nje?
Uwezo wako wa kuelewa ni mdogo sana rudia kusoma nilichoandika alafu utagundua upeo wako..Wajua yawezekana ukawa na uwezo sawa na bashite? Hope si tusi kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilaza ni atakayeamini tuna biological weapons, tangu liniNi hotuba zinazoendelea katika mkutano wa Kimataifa wa Madini.
Kama mtanzania, hili haliko sawa sana ukizingatia sisi ndo wenyeji.
Wageni wanataraji kunywa,kula,kustarehe na kulala hapa kwetu.
Kwa kauli hii, si vyema tuitoe sisi wenyeji. Inaashiria kama vile tuna uzoefu fulani na hizo "biological weapons".
Ni hotuba zinazoendelea katika mkutano wa Kimataifa wa Madini.
Kama mtanzania, hili haliko sawa sana ukizingatia sisi ndo wenyeji.
Wageni wanataraji kunywa,kula,kustarehe na kulala hapa kwetu.
Kwa kauli hii, si vyema tuitoe sisi wenyeji. Inaashiria kama vile tuna uzoefu fulani na hizo "biological weapons".
πππNdo mjue tofauti ya kufeli na kufaulu...!!
Aeleze chemical weapons ipi? Inawezekana hata wewe huelewi unazungumzia niniWamesahau kwamba watanzania si wajinga...Wamesahau kwamba uelewa uko juu kuliko nyakat zozote...kikemia aeleze nini kimo kwny chemical weapons...kuna wakati mwingine mtu anaweza jikuta anaongelea chemical weapons kumbe yy mwenyewe ni weapon chemically!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi pia nilimuona Mteuzi akitoa hotuba kwamba kuna njama za kuiibia nchi na huyu Grace Magufuli nae anasema Nzige wametengezwa kwenye maabara
Hii paranoia huwapata watu wenye uelewa mdogo na vichaa watarajiwa