Una hakika hatujawahi kupigwa nayo?Huyu Kilaza jamani. Eti Biological weapons. Anajua hata maana yake ?Au ndo kina lemutuz wanamdanganya ?Tanzania ikipigwa biological weapon wote tutaisha.
Attention seeker!!!Ni hotuba zinazoendelea katika mkutano wa Kimataifa wa Madini.
Kama mtanzania, hili haliko sawa sana ukizingatia sisi ndo wenyeji.
Wageni wanataraji kunywa,kula,kustarehe na kulala hapa kwetu.
Kwa kauli hii, si vyema tuitoe sisi wenyeji. Inaashiria kama vile tuna uzoefu fulani na hizo "biological weapons".
Hizo biological weapons ziko kwenye madini au ana maana gani?Ni hotuba zinazoendelea katika mkutano wa Kimataifa wa Madini.
Kama mtanzania, hili haliko sawa sana ukizingatia sisi ndo wenyeji.
Wageni wanataraji kunywa,kula,kustarehe na kulala hapa kwetu.
Kwa kauli hii, si vyema tuitoe sisi wenyeji. Inaashiria kama vile tuna uzoefu fulani na hizo "biological weapons".
Teh teh teh! Ila huyu kijana ana nyota aisee yaani na utumbo wote alioufanya ila bado anapeta....teh teh tehBashite anadhani ana akili kuliko watanzania milioni 60!
Hili genge la awamu ya tano ni kiboko.
Mbinu za kale mno!
Ni hotuba zinazoendelea katika mkutano wa Kimataifa wa Madini.
Kama mtanzania, hili haliko sawa sana ukizingatia sisi ndo wenyeji.
Wageni wanataraji kunywa,kula,kustarehe na kulala hapa kwetu.
Kwa kauli hii, si vyema tuitoe sisi wenyeji. Inaashiria kama vile tuna uzoefu fulani na hizo "biological weapons".
Huyu ni mwendawazimu kama baba yake tu!nimecheka sana yaaani hata aliyoongea hayaendani na mkutano..eti anachukia neno demokrasia hata wanaohubili demokrasia kwao haipo,eti hata katiba mpya haina haja kwani na wao hawana katiba mpya yaaani huyu kijana atawaabisha sana kwenye mikutano ya aina hii asipewe nafasi ya kuongea
Wewe umetokea nchi gani ili tukuwahishe kwa ndege binafsi!Nasikia wageni wanaomba kutumiwa wataalam wa afya kutoka kwao na leo hii wakitoka salama wanakimbia
In God we Trust
Tatizo la Daud Bashite ni washauri wake kwani wengi ni wajinga wajinga watupunimecheka sana yaaani hata aliyoongea hayaendani na mkutano..eti anachukia neno demokrasia hata wanaohubili demokrasia kwao haipo,eti hata katiba mpya haina haja kwani na wao hawana katiba mpya yaaani huyu kijana atawaabisha sana kwenye mikutano ya aina hii asipewe nafasi ya kuongea
Yaani binafsi jamaa akishika mic huwa nakuwa agitated maana huwa sijui atasema nini. Mmmmh wajameni ati nzige wametengenezwa kwwnye maabara. .bagosha
Hatujawahi bwana,biological weapons ni kama mtu atengeneze virus wa ebola makusudi kabisa atuwekee hapa tanzania.Siku hizi namsoma sana Lemutuz anaongea kuhusu CONVI19 ni biological weapon kutoka USA kwenda kwa wachina.