Naunga mkono hoja. Ndo maana hata mzinduzi wake ni mtu mwenye heshima yake kwenye taaluma.Not talking about his title.
But kitabu kilichoandikwa hata na mtu mpuuz kiasi gani Bado kina nafasi nzur sana ya kufungua maarifa katika ubongo wa mtu mwerevu.
Siwez kusema kitabu chake hakina mantiki wala kukidharau
Mshkaji wako anaenda kuzindua kitabu. Ni hilo tuUmeniita.. abe
Mshkaji wako anaenda kuzindua kitabu. Ni hilo tu
Ohooo... ushaanza ukorofi. Mwenye kitabu chake kasema hakuna kiingilio... hii inamaana wote mnakaribishwa mkacheze ngwasuma!Ukipata mualiko basi muache Sky nyumbani unibebe mie twende, kama hauendi basi nami itanipita. Tena uje hadi kwangu unichukue na mtengo wako.. si unao?π
Anaeleza jinsi alivyokuwa failure, yaani mtu unakaa marekani miaka kibao unapata mke na watoto huko zen unawakimbia unakuja bongo kuishi maisha ya kuungaunga, bila hata ya kuwa na nyumba yako mwenyewe bongo hata huko USA.Exactly..Mtu mafanikio hana..unaandika historia yako ili iweje sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu kitabu chenyewe ni cha kubangaiza .Kitabu kinazinduliwa na mtu mwenye Elimu ya kubangaiza!
Utapoteza bure fedha yako brother, hiyo fedha ni heri ukawape wasiojiweza na maskini Ila siyo Kwa kitabu hicho kitachozinduliwa na zero brain
Ukisoma comment za huu uzi utagundua 96% ya Watanzania ni wachawi...
Unataka ushahidi wa namna gani ndiyo uamini kama umemwona mtu kadondoka na ugo ni mchawi, au unataka uwe na elimu ya jiolojia ndiyo umtambue huyu aliye dondoka na ugo ni mchawi?Kwa hiyo wewe ni mganganga wa kienyeji huwezi kutambua mchawi kwa macho ya kawaida
Ohooo... ushaanza ukorofi. Mwenye kitabu chake kasema hakuna kiingilio... hii inamaana wote mnakaribishwa mkacheze ngwasuma!
Yani nishindwe kununulia Fanta chupa nne? Hata kama vyuma vimekaza siwezi shindwa asilani.Ha ha haaaaaaaa
Si kwa kunikimbia huku.. haya kama hautaki hata kumnunulia kinywaji Cocochanel.
Yani nishindwe kununulia Fanta chupa nne? Hata kama vyuma vimekaza siwezi shindwa asilani.
Hahaha duh kumbe nilikuwa naimba? Khaaa!Sasa unaongea.. π
Mafanikio yake hayajawahi kuonekana,karudi bongo na kende zke tu mpka sasa anapambana ili atoke,mafanikio yke makubwa ni kujiita billionea
Hahaha duh kumbe nilikuwa naimba? Khaaa!
Ahsante kwa haka kawimbo. Kitabu cha huyo le mbebez nakuachia wewe... wanangu wasije wakaiga njia za maloosers...Ila unajua kitabu nacho basi bei hakitakupiga chenga, kwahiyo pata visa tu kivyovyote na ikiwa ni siku ya nightshift π€
πππππ
πππ