Mzukulu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2020
- 1,401
- 2,641
Hivi mnavyotafuta Sifa na Umaarufu Mitandaoni hasa kwa Kujimwambafai katika Kurasa zenu za Mitandao kuwa Mke wa Babu Tale Marehemu Shammy Kombo aliwaomba mumlelee Watoto zake ( wake ) mnataka kusema kuwa aliona Mumewe hawezi Kuwalea hao Watoto au Mumewe hana tena Uwezo wa Kiuchumi wa Kuwalea hao Wanae au hapa mnataka Kututumia Ujumbe Sisi Wafiwa na Marafiki wa Kawaida?
Kuna Watu mnakera kweli kweli hapa Tanzania!
Kuna Watu mnakera kweli kweli hapa Tanzania!