joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Kumbe majibu huna.......😀😀.😂😂 Achana na hizi mbanga mkuu, haya mambo tuachane nayo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe majibu huna.......😀😀.😂😂 Achana na hizi mbanga mkuu, haya mambo tuachane nayo...
Kaka wewe ndio umejua leo kuwa wanakera... watu wenye akili walishaacha kuwasikiliza hao wehu kitambo...wamebaki na wehu wenzao i.e Steve nyerere, Lemumburulaz, Diamond...N.K acha kupoteza mda nkijadili wapumbavu...Hivi mnavyotafuta Sifa na Umaarufu Mitandaoni hasa kwa Kujimwambafai katika Kurasa zenu za Mitandao kuwa Mke wa Babu Tale Marehemu Shammy Kombo aliwaomba mumlelee Watoto zake ( wake ) mnataka kusema kuwa aliona Mumewe hawezi Kuwalea hao Watoto au Mumewe hana tena Uwezo wa Kiuchumi wa Kuwalea hao Wanae au hapa mnataka Kututumia Ujumbe Sisi Wafiwa na Marafiki wa Kawaida?
Kuna Watu mnakera kweli kweli hapa Tanzania!
I got your point...Kuna Neno kubwa hapo. Uache kumuambia Mumeo ama Mkeo anayeumwa sana kwamba ukiondoka awaangalie Watoto WENU, ukawaambie Watu Baki ambao Ukifariki tu Mazungumzo uliyoongea nao wanayaweka hadhari na kuleta picha mbaya mwenza aliyebaki???[emoji848]
Watuambie yote waliiyoongea naye ili tuone Picha halisi....[emoji848][emoji848]!
Wanamuziki wengi wa bongo flavor ni vigagula hasa hao akina tale na salamaWanaogopa kuibiana nyota
Kuna Tukio la Mtu kutaka Kugombea Ubunge Jimbo moja maarufu hapa Dar es Salaam, hivyo akigombea tu najua Kahusika 100% na huu Msiba.
Wakati alivyokuwa akiwatoa kafara ndugu zake wewe ulikuwepo?au marehemu alikwambia kwamba Tale alitoa kafara ndugu zake?
Hivi unajua baba yake Tale alikufa na nini?
Unajua Abdi bonge alikufa na nini?
Kama tunafagia wote sawa.Inaelekea we mfagiaji wa ofisi za Wasafi , maana unamteteaaaa kama kakulipa
Hiyo kafara inatolewa wapi nami nikakutoe nitusue.Alijua ameshatolewa Kafara, hivyo akawaomba makonda na Jokate wawalinde watoto wake ili nao wasije kutolewa kafara.
Hii ndio WCB
HawakusikiaMa-ustadhi wengi huwaga wachawi wachawi
Hiyo niliikuta kwenye misiba ya kijaluo.usisahau siku hizi misiba ni sehemu ya kuonyesha ww ni nani..unafanya nn..unakitu gani..unamchango gani...nilikwendaga kwenye msiba kwa mjomba wangu sasa kwa bahati mbaya..watu walikuwa wanasimamishwa na wanajieleze kuwa yeye ni nani..anatoka wapi..kazi yake...alafu na mchango wake
Sallam nae kasimulia eti Tale alihamia kwa Sallam kisa anaogopa kuwaambia watoto mama yao yupo wapi. Hivi mkeo anaumwa kalazwa ndo muda unatakiwa uwe na wanao karibu. Na alitakiwa awaambie wanae ukweli. Au roho ilikuwa inamsuta ?Kuugua kwa Shamsa kuna mauza uza mengi.
Wabongo acheni stori za kinafiki, kila kitu mnajifanya mnajua, hebu leteni mawazo chanja tujikomboe kwenye Lindi la umasikini badala ya kujadili maisha ya watu