Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Shem shem...hapana sio Koo ya Kanda ya ziwa huyo!..huyo mrundiShemu huyo nduguyo lakini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shem shem...hapana sio Koo ya Kanda ya ziwa huyo!..huyo mrundiShemu huyo nduguyo lakini
Nawapenda sana kabila hizi;Shem shem...hapana sio Koo ya Kanda ya ziwa huyo!..huyo mrundi
Kweli asee...ipo shida hapo...Kuna Neno kubwa hapo. Uache kumuambia Mumeo ama Mkeo anayeumwa sana kwamba ukiondoka awaangalie Watoto WENU, ukawaambie Watu Baki ambao Ukifariki tu Mazungumzo uliyoongea nao wanayaweka hadhari na kuleta picha mbaya mwenza aliyebaki???[emoji848]
Watuambie yote waliiyoongea naye ili tuone Picha halisi....[emoji848][emoji848]!
Dah! Nadhani jiwe ndio icon wetu wasukuma..sasa itakuwaje...?.Nawapenda sana kabila hizi;
1. Mmasai wa porini...ni mkweli hana unafiki
2. Msukuma ...ni mkarimu sana
Lakini jiwe amenipunguzia upendo kwa wasukuma japo nina marafiki wengi wa kisukuma.
Shemu nakupenda ujue
usisahau siku hizi misiba ni sehemu ya kuonyesha ww ni nani..unafanya nn..unakitu gani..unamchango gani...nilikwendaga kwenye msiba kwa mjomba wangu sasa kwa bahati mbaya..watu walikuwa wanasimamishwa na wanajieleze kuwa yeye ni nani..anatoka wapi..kazi yake...alafu na mchango wakeHivi mnavyotafuta Sifa na Umaarufu Mitandaoni hasa kwa Kujimwambafai katika Kurasa zenu za Mitandao kuwa Mke wa Babu Tale Marehemu Shammy Kombo aliwaomba mumlelee Watoto zake ( wake ) mnataka kusema kuwa aliona Mumewe hawezi Kuwalea hao Watoto au Mumewe hana tena Uwezo wa Kiuchumi wa Kuwalea hao Wanae au hapa mnataka Kututumia Ujumbe Sisi Wafiwa na Marafiki wa Kawaida?
Kuna Watu mnakera kweli kweli hapa Tanzania!
unaweza kukuta kuna msanii anajiita bill jaribu kumuullizia vizuri...maana nasikia kuna amber lulu mjini hapaBill Gates yupi? Bill Gates anaishi USA mkuu sio huko Utupolo
Duh....!Sallam nae kasimulia eti Tale alihamia kwa Sallam kisa anaogopa kuwaambia watoto mama yao yupo wapi. Hivi mkeo anaumwa kalazwa ndo muda unatakiwa uwe na wanao karibu. Na alitakiwa awaambie wanae ukweli. Au roho ilikuwa inamsuta ?Kuugua kwa Shamsa kuna mauza uza mengi.
Muda utasema mkuuKuna Tukio la Mtu kutaka Kugombea Ubunge Jimbo moja maarufu hapa Dar es Salaam, hivyo akigombea tu najua Kahusika 100% na huu Msiba.
Hivi unajua ukitolewa kafara unatengenezewa ugonjwa? Unaweza kufa kwa ngoma au cancerWakati alivyokuwa akiwatoa kafara ndugu zake wewe ulikuwepo?au marehemu alikwambia kwamba Tale alitoa kafara ndugu zake?
Hivi unajua baba yake Tale alikufa na nini?
Unajua Abdi bonge alikufa na nini?
Aiseee, asanteHivi ni kwanini Shirika la Afya duniani Siku hizi halihangaiki sana Kuzungumzia Chanjo ya UKIMWI na inakazana tu na Chanjo ya COVID-19 pekee?
Wewe ushawahi kuwatengenezea ugonjwa wowote walio tolewa kafara?Hivi unajua ukitolewa kafara unatengenezewa ugonjwa? Unaweza kufa kwa ngoma au cancer
Kafara inaaminika sana kwa watu masikini.......Alijua ameshatolewa Kafara, hivyo akawaomba makonda na jokate wawalinde watoto wake ili nao wasije kutolewa kafara.
Hii ndio WCB
Ascreenshot ujumbe tuone.....sio maneno yake bana.....shammy hakuwa na ndugu dada, mdogo, wifi, shangazi, mamdogo, mama, binamu wa kuelewana naye akamwachia ujumbe kama huo adi amwachie faza makalio kulea wanae???Sijui aliona nini akaaga,
Tuelezeni tu walau tujue kidogo jokete kwenye Instagram yake kaandika aliagwa since 11.6.2020, ina maana huyu marehemu alijua hawezi pona.
Mungu ampe kauli dhabiti,
Ukibishana na mtu mwenye hana ela kuhusu kafara utachizi bureeee.....maskini tunaamini sana uchawi....kila alofanikiwa kidogo lazima maskini tutasema kafaraWakati alivyokuwa akiwatoa kafara ndugu zake wewe ulikuwepo?au marehemu alikwambia kwamba Tale alitoa kafara ndugu zake?
Hivi unajua baba yake Tale alikufa na nini?
Unajua Abdi bonge alikufa na nini?
Yaan tasnia ya sanaa bana! Kila jambo usanii sanii tuuu....asa mzee wa mji ahamie kwa mwanaume mwenzie eti kisa kapata kuuguza mke na anaogopa kuwaeleza wanae ukweli?? Wakati huo sasa nani alibaki kuwakumbatia watoto ktk hali ngumu namna ile ambayo mama yao ayupo?Sallam nae kasimulia eti Tale alihamia kwa Sallam kisa anaogopa kuwaambia watoto mama yao yupo wapi. Hivi mkeo anaumwa kalazwa ndo muda unatakiwa uwe na wanao karibu. Na alitakiwa awaambie wanae ukweli. Au roho ilikuwa inamsuta ?Kuugua kwa Shamsa kuna mauza uza mengi.
Hujaelewa. Kipindi mkewe kalazwa hospitali. Tale alikuwa analala kwa Sallam. Kisa aliogopa wanae wakimuuliza mama bado anachoma sindano tu ?Atawajibuje.Yaan tasnia ya sanaa bana! Kila jambo usanii sanii tuuu....asa mzee wa mji ahamie kwa mwanaume mwenzie eti kisa kaptwa msiba na anaogopa kuwaeleza wanae ukweli?? Wakati huo sasa nani alibaki kuwakumbatia watoto ktk hali ngumu namna ile
😂😂 Achana na hizi mbanga mkuu, haya mambo tuachane nayo...Wewe ushawahi kuwatengenezea ugonjwa wowote walio tolewa kafara?
Au lands una kipimo cha kugundua hili kafara limetengenezewa ugonjwa?
Hebu tuanzie hapo....