Wabongo wape kichwa cha habari mengine watamalizia wenyewe,tena huyu ni mwanaume kabisa.Alijua ameshatolewa Kafara, hivyo akawaomba makonda na jokate wawalinde watoto wake ili nao wasije kutolewa kafara.
Hii ndio WCB
Sasa unadhani alikuwa ameenda kuomba msaada wa ada za watoto?Wabongo wape kichwa cha habari mengine watamalizia wenyewe,tena huyu ni mwanaume kabisa.
Wanaogopa kuibiana nyotaNimeona Salam sk ameukataa kwa kuuputa mkono wa Harmonize [emoji28][emoji28][emoji28] dah Mungu awaokoe mabifu mpaka kwenye msiba.
Wanaogopa kuibiana nyota
Kwa hiyo aliwaambie nileleni wanangu,baba yao kanitoa kafara?Sasa unadhani alikuwa ameenda kuomba msaada wa ada za watoto?
Bill Gates yupi? Bill Gates anaishi USA mkuu sio huko UtupoloNyota inaibiwaje kwa Watu Kusalimiana kwa kupeana Mikono yao? Naomba ujuzi ili nami nikalazimishe kupeana Mkono na Tajiri Bill Gates Ndugu.
Funguka mkuuSallam nae kasimulia eti Tale alihamia kwa Sallam kisa anaogopa kuwaambia watoto mama yao yupo wapi. Hivi mkeo anaumwa kalazwa ndo muda unatakiwa uwe na wanao karibu. Na alitakiwa awaambie wanae ukweli. Au roho ilikuwa inamsuta ?Kuugua kwa Shamsa kuna mauza uza mengi.
Sallam nae kasimulia eti Tale alihamia kwa Sallam kisa anaogopa kuwaambia watoto mama yao yupo wapi. Hivi mkeo anaumwa kalazwa ndo muda unatakiwa uwe na wanao karibu. Na alitakiwa awaambie wanae ukweli. Au roho ilikuwa inamsuta ?Kuugua kwa Shamsa kuna mauza uza mengi.
Anajua ndugu zake wa karibu na Tale wameshatolewa kafara hivyo waliobaki ni watoto wakeKwa hiyo aliwaambie nileleni wanangu,baba yao kanitoa kafara?
Au aliongea vingine wazee wa chini ya kapeti.
Wakati alivyokuwa akiwatoa kafara ndugu zake wewe ulikuwepo?au marehemu alikwambia kwamba Tale alitoa kafara ndugu zake?Anajua ndugu zake wa karibu na Tale wameshatolewa kafara hivyo waliobaki ni watoto wake
Sijui aliona nini akaaga,
Tuelezeni tu walau tujue kidogo jokete kwenye Instagram yake kaandika aliagwa since 11.6.2020, ina maana huyu marehemu alijua hawezi pona.
Mungu ampe kauli dhabiti,
Waswahili wana mamboSallam nae kasimulia eti Tale alihamia kwa Sallam kisa anaogopa kuwaambia watoto mama yao yupo wapi. Hivi mkeo anaumwa kalazwa ndo muda unatakiwa uwe na wanao karibu. Na alitakiwa awaambie wanae ukweli. Au roho ilikuwa inamsuta ?Kuugua kwa Shamsa kuna mauza uza mengi.