RC Makonda na DC Jokate mlisubiri hadi Mke wa Babu Tale Marehemu Shammy Kombo akate Roho ndiyo mjimwambafai kuwa aliwaomba mumlelee Watoto?

Kweli asee...ipo shida hapo
 
Nawapenda sana kabila hizi;
1. Mmasai wa porini...ni mkweli hana unafiki
2. Msukuma ...ni mkarimu sana
Lakini jiwe amenipunguzia upendo kwa wasukuma japo nina marafiki wengi wa kisukuma.

Shemu nakupenda ujue
Dah! Nadhani jiwe ndio icon wetu wasukuma..sasa itakuwaje...?.
 
usisahau siku hizi misiba ni sehemu ya kuonyesha ww ni nani..unafanya nn..unakitu gani..unamchango gani...nilikwendaga kwenye msiba kwa mjomba wangu sasa kwa bahati mbaya..watu walikuwa wanasimamishwa na wanajieleze kuwa yeye ni nani..anatoka wapi..kazi yake...alafu na mchango wake
 
kaulio nyeti kama zile unapeleka mojakwamoja kwa familia sio kusema tu ovyo..wengne huacha siri za familia...majukumu ya familia kwa watu baki..sasa wanasema kuwa upele umempata mkunaji
 
Bill Gates yupi? Bill Gates anaishi USA mkuu sio huko Utupolo
unaweza kukuta kuna msanii anajiita bill jaribu kumuullizia vizuri...maana nasikia kuna amber lulu mjini hapa
 
Duh....!
 
Kuna Tukio la Mtu kutaka Kugombea Ubunge Jimbo moja maarufu hapa Dar es Salaam, hivyo akigombea tu najua Kahusika 100% na huu Msiba.
Muda utasema mkuu
Hii comment tutaifanyia marejeo
 
Wakati alivyokuwa akiwatoa kafara ndugu zake wewe ulikuwepo?au marehemu alikwambia kwamba Tale alitoa kafara ndugu zake?

Hivi unajua baba yake Tale alikufa na nini?

Unajua Abdi bonge alikufa na nini?
Hivi unajua ukitolewa kafara unatengenezewa ugonjwa? Unaweza kufa kwa ngoma au cancer

 
Hivi unajua ukitolewa kafara unatengenezewa ugonjwa? Unaweza kufa kwa ngoma au cancer
Wewe ushawahi kuwatengenezea ugonjwa wowote walio tolewa kafara?
Au lands una kipimo cha kugundua hili kafara limetengenezewa ugonjwa?

Hebu tuanzie hapo....
 
Alijua ameshatolewa Kafara, hivyo akawaomba makonda na jokate wawalinde watoto wake ili nao wasije kutolewa kafara.
Hii ndio WCB
Kafara inaaminika sana kwa watu masikini.......
 
Sijui aliona nini akaaga,
Tuelezeni tu walau tujue kidogo jokete kwenye Instagram yake kaandika aliagwa since 11.6.2020, ina maana huyu marehemu alijua hawezi pona.

Mungu ampe kauli dhabiti,
Ascreenshot ujumbe tuone.....sio maneno yake bana.....shammy hakuwa na ndugu dada, mdogo, wifi, shangazi, mamdogo, mama, binamu wa kuelewana naye akamwachia ujumbe kama huo adi amwachie faza makalio kulea wanae???
 
Wakati alivyokuwa akiwatoa kafara ndugu zake wewe ulikuwepo?au marehemu alikwambia kwamba Tale alitoa kafara ndugu zake?

Hivi unajua baba yake Tale alikufa na nini?

Unajua Abdi bonge alikufa na nini?
Ukibishana na mtu mwenye hana ela kuhusu kafara utachizi bureeee.....maskini tunaamini sana uchawi....kila alofanikiwa kidogo lazima maskini tutasema kafara
 
Yaan tasnia ya sanaa bana! Kila jambo usanii sanii tuuu....asa mzee wa mji ahamie kwa mwanaume mwenzie eti kisa kapata kuuguza mke na anaogopa kuwaeleza wanae ukweli?? Wakati huo sasa nani alibaki kuwakumbatia watoto ktk hali ngumu namna ile ambayo mama yao ayupo?
 
Yaan tasnia ya sanaa bana! Kila jambo usanii sanii tuuu....asa mzee wa mji ahamie kwa mwanaume mwenzie eti kisa kaptwa msiba na anaogopa kuwaeleza wanae ukweli?? Wakati huo sasa nani alibaki kuwakumbatia watoto ktk hali ngumu namna ile
Hujaelewa. Kipindi mkewe kalazwa hospitali. Tale alikuwa analala kwa Sallam. Kisa aliogopa wanae wakimuuliza mama bado anachoma sindano tu ?Atawajibuje.
 
Wewe ushawahi kuwatengenezea ugonjwa wowote walio tolewa kafara?
Au lands una kipimo cha kugundua hili kafara limetengenezewa ugonjwa?

Hebu tuanzie hapo....
😂😂 Achana na hizi mbanga mkuu, haya mambo tuachane nayo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…