RC Makonda na DC Jokate mlisubiri hadi Mke wa Babu Tale Marehemu Shammy Kombo akate Roho ndiyo mjimwambafai kuwa aliwaomba mumlelee Watoto?

Kaka wewe ndio umejua leo kuwa wanakera... watu wenye akili walishaacha kuwasikiliza hao wehu kitambo...wamebaki na wehu wenzao i.e Steve nyerere, Lemumburulaz, Diamond...N.K acha kupoteza mda nkijadili wapumbavu...
 
Dah tanzania tuna nini lakini,hivi huu ujinga upo?inawezekana kama kwingine upo basi ni 2%iliyobakia yetu!
 
I got your point
 
Kuna Tukio la Mtu kutaka Kugombea Ubunge Jimbo moja maarufu hapa Dar es Salaam, hivyo akigombea tu najua Kahusika 100% na huu Msiba.


Kugombea ni haki yake jamani wala tusimhukukumu kwa mambo ya kuzaniazania.

Akigombea Dar kupata siyo rahisi hata afanyeje watu wa Dar wastani wanajielewa ingawa na wanafiki wapo lakini siyo rahisi sana kwa yeye akigombea jimbo mojawapo la Dar kupata,

Labda kidogo aelekee maeneo ya Temeke huko , Ukonga, na Kinondoni .

Namshauri akagombee majimbo ya maporini huko ambako hata mambo yanavyoenda hawajui,
 
Wabongo acheni stori za kinafiki, kila kitu mnajifanya mnajua, hebu leteni mawazo chanja tujikomboe kwenye Lindi la umasikini badala ya kujadili maisha ya watu
 
Alijua ameshatolewa Kafara, hivyo akawaomba makonda na Jokate wawalinde watoto wake ili nao wasije kutolewa kafara.
Hii ndio WCB
Hiyo kafara inatolewa wapi nami nikakutoe nitusue.
 
Hiyo niliikuta kwenye misiba ya kijaluo.
 
Mauzauza gani? Yaani nyie mtu ngozi nyeusi mnapenda kutafutiza vitu hatari! Kwani mtu kufa ndo kaanza mke wa tale? Acheni kuyafanya mambo yaonekane sivyo kumbe akili zenu ndo sivyo. Msiba umetokea, maelezo yametolewa na madaktari kilichosababisha kifo chake, haya makandokando mnayotaka kuya develop ni kukosa vitu vya kufanya coz the idle mind is a workshop of devel.
 
Kaa humo..
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…