Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Tuliza nchecheto uandike vizuri yaelewekeHuu ni udhalilishaji, na wakili wa TLS ameshirikiana na Makonda kushalilisha huyu mama.
wanasheria wa halmashauri hawaendi Mahakamani, kwa mujibu wake, kwa sasa Ofisi ya wakili mkuu iliyopo DSM ndio wanafanya hiyo kazi. yeye anasema walishawaandikia ofisi ya wakili Mkuu kuchukua hatua hizo kwasababu kwa sasa wao hawaendi Mahakamani. Lakini bado anadhalilishwa.
View attachment 3002024
kitu gani hujaelewa hapo kaka. clip inajieleza. wanaoendesha kesi za madai sio wanasheria wa halmashauri, ni wakili mkuu ofisi yake ni tofauti na ya halmashauri, ila amesulubishwa dada wakili arusha, hapo una semaje?Tuliza nchecheto uandike vizuri yaeleweke
Huyo Dada kesi yake inahusu nini kwani? Wengine wageni kwenye hilo Sakatakitu gani hujaelewa hapo kaka. clip inajieleza. wanaoendesha kesi za madai sio wanasheria wa halmashauri, ni wakili mkuu ofisi yake ni tofauti na ya halmashauri, ila amesulubishwa dada wakili arusha, hapo una semaje?
sikiliza tu clip utaelewa.Huyo Dada kesi yake inahusu nini kwani? Wengine wageni kwenye hilo Sakata
Naijua hiyo habari yote, ila najua wewe hauijui na hauna akili ndio maana unakimbilia kutukana. hustahili hata kuzingatiwa kwa lolote kwenye majadiliano kwasababu akili zako ni kama za yule mnayemtetea. zero brain.Ulifatilia mwanzo Hadi mwisho wa huo mjadala ??.
Mjinga Mmoja wee, Mikutano yote ya Makonda Naifatilia , hamna mkutano aloufanya Makonda nisiutizame kwenye hizi siku sita zake.naijua hiyo habari yote, ila najua wewe hauijui na hauna akili ndio maana unakimbilia kutukana. hustahili hata kuzingatiwa kwa lolote kwenye majadiliano kwasababu akili zako ni kama za yule mnayemtetea. zero brain.
Mbona haujibu hoja, unatukana, angalia hiyo clip halafu sema ni ujinga gani unatukaniaMjinga Mmoja wee, Mikutano yote ya Makonda Naifatilia , hamna mkutano aloufanya Makonda nisiutizame kwenye hizi siku sita zake.
Hamna udhalilishaji ambos keshawah ufanya...
Ungeanza kutuletea mwanzo wa hiyo clip uone uozo huyo mwanasheria mjivuni na mbinafsi unayetaka kumtetea wewe hapo.Huu ni udhalilishaji, na wakili wa TLS ameshirikiana na Makonda kudhalilisha huyu mama.
Wanasheria wa Halmashauri hawaendi Mahakamani, kwa mujibu wake, kwa sasa Ofisi ya wakili mkuu iliyopo DSM ndio wanafanya hiyo kazi. Yeye anasema walishawaandikia ofisi ya Wakili Mkuu kuchukua hatua hizo kwasababu kwa sasa wao hawaendi Mahakamani. Lakini bado anadhalilishwa.
View attachment 3002024
Kwa uwezo alioonesha hapo kulingana na maelezo yake, hakupaswa kumuwakilisha mkuu wake wa idara.kitu gani hujaelewa hapo kaka. clip inajieleza. wanaoendesha kesi za madai sio wanasheria wa halmashauri, ni wakili mkuu ofisi yake ni tofauti na ya halmashauri, ila amesulubishwa dada wakili arusha, hapo una semaje?
ukiangalia clip, labda kama hauna bando, sijalalamikia wengine wote, ila eneo la uyo mama kwamba akitaka kufafanua bashite hampi nafasi. Kuna kesi imeonekana walishindwa na walitakiwa wakate rufaa, wanaotakiwa kuandaa nyaraka na kukata rufaa sio huyo mwanasheria, ni Ofisi ya Wakili MKuu. bashite anaonekana hajui nini maana ya wakili mkuu, anaendelea kumkandamiza huyo mama kwamba kwanini hajakata rufaa hadi leo, wakati Mama ameshamwabia tuliandika barua kwa WAKILI MKUU kumpa update na yeye ndiye alitakiwa akate rufaa kwasababu hao wanasheria wa halmashauri kwa sasa hawaendi Mahakamani, wanawakilishwa na Wakili Mkuu.Ungeanza kutuletea mwanzo wa hiyo clip uone uozo huyo mwanasheria mjivuni na mbinafsi unayetaka kumtetea wewe hapo.
Weka tangu ilipoanza, siyo kuikata clip kuchagua maneno ili
Kueneze chuki zako hapa.
watu wakisikia mtu anaitwa wakili mkuu wanafikiri ni mkuu wa kitengo cha mawakili palepale halmashauri ya arusha. kwa kiingereza anaitwa "solicitor general", ofisi zake zipo dsm hapa, kesi zote za halmashauri na taasisi za serikali kama ni za madai, huyo ndiye anasimama.Kwa uwezo alioonesha hapo kulingana na maelezo yake, hakupaswa kumuwakilisha mkuu wake wa idara.
Pamoja nankueleza yote hayo, bado huyo mwanasheria kwa uwezo alioonesha hakupaswa kumuwakilisha mkuu wake wa idara.ukiangalia clip, labda kama hauna bando, sijalalamikia wengine wote, ila eneo la uyo mama kwamba akitaka kufafanua bashite hampi nafasi. Kuna kesi imeonekana walishindwa na walitakiwa wakate rufaa...
Mkuu wake wa idara yupi? fafanua. Ofisi ya Halmashauri yeye alipo, ni taasisi tofauti kabisa na OFisi ya solicitor general (wakili Mkuu) wanaoendesha kesi zote za madai za serikali. huyo wakili wa halmashauri mwajiri wake ni DED, wakati solicitor general hahusiani kabisa na employment ya halmashauri hapo, nadhani yeye anajitegemea.Pamoja nankueleza yote hayo, bado huyo mwanasheria kwa uwezo alioonesha hakupaswa kumuwakilisha mkuu wake wa idara.
Kwa maelezo ya huyo wakili mwakilishi wa TLS, Ofisi ya wakili mkuu ilitekeleza wajibu wake vizuri tu, ni wazi, kwa maelezo yale, walipoandikiwa barua hiyo, walitekeleza jukumu lao kwa kukata rufaa, makosa yanaoneka hapo ni kutokuwasilisha "notice" ya rufaa kwa wadai, msingi mkuu uliofanya mahakama ya rufaa kuitupa hiyo rufaa.watu wakisikia mtu anaitwa wakili mkuu wanafikiri ni mkuu wa kitengo cha mawakili palepale halmashauri ya arusha. kwa kiingereza anaitwa "solicitor general", ofisi zake zipo dsm hapa...
Ni wazi wewe umepandisha hiyo "clip" bila kuangalia na kisikiliza kwa umakini majibizano yao. Irudie tena vizuri, uje hapa.Mkuu wake wa idara yupi? fafanua. Ofisi ya Halmashauri yeye alipo, ni taasisi tofauti kabisa na OFisi ya solicitor general (wakili Mkuu) wanaoendesha kesi zote za madai za serikali. huyo wakili wa halmashauri mwajiri wake ni DED, wakati solicitor general hahusiani kabisa na employment ya halmashauri hapo, nadhani yeye anajitegemea.
nadhani yule mwenye mandate kuappear Mahakamani ndiye mwenye wajibu huo. Ofisi ya Wakili Mkuu ndiyo ilikuwa na wajibu huo. Kama wanasheria wa halmashauri hawana mandate kuappear Mahakamani, Mahakama itaamuaje jambo kuwarushia zigo wao wakati sio party kwenye kesi?Kwa maelezo ya huyo wakili mwakilishi wa TLS, Ofisi ya wakili mkuu ilitekeleza wajibu wake vizuri tu, ni wazi, kwa maelezo yale, walipoandikiwa barua hiyo, walitekeleza jukumu lao kwa kukata rufaa,...
Unganisha na clip zingine za siku hiyo kuona namna mama huyo mwanasheria anavyolalamikiwa kuminya haki za watu bhana!ukiangalia clip, labda kama hauna bando, sijalalamikia wengine wote, ila eneo la uyo mama kwamba akitaka kufafanua bashite hampi nafasi. Kuna kesi imeonekana walishindwa...
usichojua na ninachosema ni kwamba, mwenye wajibu wa kukata rufaa hakuwa huyo mama, ni wajibu wa WAKILI MKUU, hiyo ni ofisi nyingine kabisa yenye mwajiri mwingine kabisa inajitegemea na serikali imeiunda ili kesi zote za madai za uma hao wanasheria wa halmashauri wasiende, aende WAKILI MKUU, ndio maana alikuwa anahangaika kumwambia walimwandikia WAKILI MKUU barua ili afanye hizo taratibu kwasababu wanasheria wa halmashauri hawana mamlaka kwenda mahakamani, wanatakiwa kuwakilishwa na WAKILI MKUU.Unganisha na clip zingine za siku hiyo kuona namna mama huyo mwanasheria anavyolalamikiwa kuminya haki za watu bhana...