RC Makonda na Mwanasheria wa Arusha wameshirikiana kumdhalilisha huyu mama

RC Makonda na Mwanasheria wa Arusha wameshirikiana kumdhalilisha huyu mama

halmashauri waliwakilishwa na "wakili mkuu", halmashauri hawakuwa na wajibu wowote kufanya, ila wakili mkuu. wakili mkuu na halmashauri ni ofisi mbili tofauti.
Usiongeze neno, wasiokuelewa hawatakuelewa kamwe,achana nao mkuu.
 
Boss, hayo maneno hayajanichanganya, yamekuchanganya wewe, na naona una uelewa sawa kabisa na huyo mwanasheria wa halmashauri.

Tumia ubongo vizuri kufikiri na kutafakari, acha kukariri.
We mpaka upasuliwe kichwa ujazwe akili upya ....unakaza fuvu tu ...ila unaelewa kinachoelezwa..... Hutaki tu kukubali kuwa.. haujui SHERIA TARATIBU NA KANUNI ZA KIMAHAKAMA..... Na Ofisi wajibikaji ...
 
halmashauri waliwakilishwa na "wakili mkuu", halmashauri hawakuwa na wajibu wowote kufanya, ila wakili mkuu. wakili mkuu na halmashauri ni ofisi mbili tofauti.
Sawa, walivyowakilishwa na "wakili Mkuu" si hukumu ikatoka, wakili Mkuu akaipata, halafu hakutoa notisi ya kukataa rufaa?? Kwa hiyo wakashindwa Kwa mara ya pili ?
Sasa Halmashauri walijuaje kwamba wameshindwa. Maana mambo yote walimuachia wakili Mkuu wa Serikali
 
Back
Top Bottom