Orosso
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 949
- 2,284
Usijifiche tubkwenye hicho kichaka cha wanassheria wa halmashauri hawana "mandate" ya kusimama mahakamani.nadhani yule mwenye mandate kuappear Mahakamani ndiye mwenye wajibu huo. Ofisi ya Wakili Mkuu ndiyo ilikuwa na wajibu huo. Kama wanasheria wa halmashauri hawana mandate kuappear Mahakamani, Mahakama itaamuaje jambo kuwarushia zigo wao wakati sio party kwenye kesi? yaani jambo lolote la kesi ya madai likiikuta taasisi yeyote ya serikali, ile taasisi inatakiwa kurusha zigo hilo kwa wakili mkuu, yeye ndiye atafanya kila kitu na amewekwa mahsusi kwa ajili ya hilo. hata kama kuna kitu halmashauri watatakiwa kufanya, ni kwa maelekezo ya wakili mkuu.
Huoni kama ofisi ya mwanasheria ya halmasshauri ilikua inawajibika kiwasilisha "notice" ya rufaa kwa wadai, kama vile tu ilivowajibika kuandika barua ofisi ya mwanasheria mkuu?