RC Makonda: Watu wanafunga maduka, wanajifungia majumbani kisa Corona, mtakufa na njaa

RC Makonda: Watu wanafunga maduka, wanajifungia majumbani kisa Corona, mtakufa na njaa

Corona inaambukiza kupitia hewa .Tusivamie taaluma za watu. Scientists say there is preliminary evidence that airborne transmission — in which the disease spreads in the much smaller particles from exhaled air, known as aerosols — is occurring, and that precautions, such as increasing ventilation indoors, should be recommended to reduce the risk of infection.
 
Mkuu siombei na Wala sitaki itokee, siku huu ugonjwa utakapokuwa for real na kuteketeza ndugu au jamaa zako wa karibu kwa mpigo ndipo utakapoelewa nini wenzetu walikuwa wanamaanisha.

Umeshaambiwa mgonjwa wa kwanza kufariki alikuwa na ugonjwa mwingine ambapo baada ya kupata maambukizi alikuwa vulnerable, lkn mhm kujua pia kuwa nchi zetu hizi Zina idadi kubwa ya watu wenye magonjwa yasiyoambukiza na janga hili likiwafikia baadhi tutapoteza nguvu kazi kubwa Sana.

Ushauri wangu ni kuwa tuache Mambo ya kitaalamu yafanywe na wataalam.
Tanzania wananchi wanajifungia ndani lakin Serikal inawahamasisha watoke Nje wafanye kazi

Kwingineko Duniani Wananchi wanataka kutoka nje kuchapa kazi Serikal zao zinawazuia kwa hofu ya Corona

Maana yake Wananchi wa TZ ni waoga na wavivu wakati Serikal yao ni ya kijasiri na kichapa kazi

Kwingineko Serikal zao za kivivu na kioga wakati wanancho wao ni wachapakazi na majasiri



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom