sahihi kwa kuwaingiza watu chaka au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sahihi kwa kuwaingiza watu chaka au
Bashite katika ubora wake yani kiongozi wa kijinga haijawahi kutokea
Wafungue vyuo na shule kwa sababu walimu na wakufunzi hawafanyi kazi muda huu"Tokeni kafanyeni kazi eti Watu wanafunga maduka, wanajifungia majumbani kisa Corona, mtakufa na njaa, ndio maana leo nawafuatilia wakandarasi, sasa nimkute mkandaraai hayupo site kisa corona, kuna wapuuzi huko wanasema Serikali inadanganya idadi imeongezeka, kwenu kuna Mtu amekufa na corona?, kuna Mtu kwenu anaumwa corona?, hiyo idadi imetoka wapi?" - Paul Makonda, RC DSM
Good work our focused leader
======
Wananchi wanaingia hasara kwa kukwepa majukumu yao huku mambo yakienda tofauti wanaanza kuilalamikia serikali ili iweze kupatia msaada.
Amesema hayo leo mkuu wa mkoa wa Dar es Salaaam Mh Paul Makonda wakati akikagua mradi wa TARURA katika eneo la Kinondoni shamba ambapo kumekuwa na mgogoro baina ya TARURA na wananchi wa eneo hilo.
Pia amewataka wananchi kuacha kujifanya wajuaji wakati tatizo linapokuwa kubwa kwasababu wakati watu wanaingia katika eneo la mradi ambalo hawatakiwi kuvamia.
Vilevile amewataka wananchi kufanya kazi huku wakichukua tahadhari ya ugonjwa wa Corona wasikae ndani watafute hela ili wasije wakafa na njaa.
“Tokeni ndani mkafanye kazi Corona isiwe kigezo cha kujifungia ndani tumepambana na magonjwa mengi ikiwemo kipindupindu na magonjwa mengine tufanye kazi huku tukichukua tahadhari’amesema Makonda.
Aidha Makonda amekukagua miradi ya barabara inayotekelezwa na TARURA katika wilaya ya Ilala na Kinondoni kujua maendeleo ya miradi hiyo.
“Barabara ni ahadi ya muda mrefu ya Mh Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli ijengwe kutoka makao makuu wa Bakwata hadi Biafra”amesema Makonda.
Hatahivyo amepokea taarifa ya mgogoro kutoka kwa wananchi wa eneo lile kwa kutaka kuvunjiwa nyumba zao bila kupata fidia na walio lipwa wapo na hawajipotiwa na barabara hiyo.
Aidha amewataka wananchi kuwa atatuma kamati yake ifanye ukaguzi na wataanza jumatatu ili walete majibu kamili ili mradi huo uende kwa haraka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dogo ni hasara kwa taifa"Tokeni kafanyeni kazi eti Watu wanafunga maduka, wanajifungia majumbani kisa Corona, mtakufa na njaa, ndio maana leo nawafuatilia wakandarasi, sasa nimkute mkandaraai hayupo site kisa corona, kuna wapuuzi huko wanasema Serikali inadanganya idadi imeongezeka, kwenu kuna Mtu amekufa na corona?, kuna Mtu kwenu anaumwa corona?, hiyo idadi imetoka wapi?" - Paul Makonda, RC DSM
Good work our focused leader
======
Wananchi wanaingia hasara kwa kukwepa majukumu yao huku mambo yakienda tofauti wanaanza kuilalamikia serikali ili iweze kupatia msaada.
Amesema hayo leo mkuu wa mkoa wa Dar es Salaaam Mh Paul Makonda wakati akikagua mradi wa TARURA katika eneo la Kinondoni shamba ambapo kumekuwa na mgogoro baina ya TARURA na wananchi wa eneo hilo.
Pia amewataka wananchi kuacha kujifanya wajuaji wakati tatizo linapokuwa kubwa kwasababu wakati watu wanaingia katika eneo la mradi ambalo hawatakiwi kuvamia.
Vilevile amewataka wananchi kufanya kazi huku wakichukua tahadhari ya ugonjwa wa Corona wasikae ndani watafute hela ili wasije wakafa na njaa.
“Tokeni ndani mkafanye kazi Corona isiwe kigezo cha kujifungia ndani tumepambana na magonjwa mengi ikiwemo kipindupindu na magonjwa mengine tufanye kazi huku tukichukua tahadhari’amesema Makonda.
Aidha Makonda amekukagua miradi ya barabara inayotekelezwa na TARURA katika wilaya ya Ilala na Kinondoni kujua maendeleo ya miradi hiyo.
“Barabara ni ahadi ya muda mrefu ya Mh Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli ijengwe kutoka makao makuu wa Bakwata hadi Biafra”amesema Makonda.
Hatahivyo amepokea taarifa ya mgogoro kutoka kwa wananchi wa eneo lile kwa kutaka kuvunjiwa nyumba zao bila kupata fidia na walio lipwa wapo na hawajipotiwa na barabara hiyo.
Aidha amewataka wananchi kuwa atatuma kamati yake ifanye ukaguzi na wataanza jumatatu ili walete majibu kamili ili mradi huo uende kwa haraka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania wananchi wanajifungia ndani lakin Serikal inawahamasisha watoke Nje wafanye kazi
Kwingineko Duniani Wananchi wanataka kutoka nje kuchapa kazi Serikal zao zinawazuia kwa hofu ya Corona
Maana yake Wananchi wa TZ ni waoga na wavivu wakati Serikal yao ni ya kijasiri na kichapa kazi
Kwingineko Serikal zao za kivivu na kioga wakati wanancho wao ni wachapakazi na majasiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Corona inaambukiza kupitia hewa .Tusivamie taaluma za watu. Scientists say there is preliminary evidence that airborne transmission — in which the disease spreads in the much smaller particles from exhaled air, known as aerosols — is occurring, and that precautions, such as increasing ventilation indoors, should be recommended to reduce the risk of infection.
QUO"Tokeni kafanyeni kazi eti Watu wanafunga maduka, wanajifungia majumbani kisa Corona, mtakufa na njaa, ndio maana leo nawafuatilia wakandarasi, sasa nimkute mkandaraai hayupo site kisa corona, kuna wapuuzi huko wanasema Serikali inadanganya idadi imeongezeka, kwenu kuna Mtu amekufa na corona?, kuna Mtu kwenu anaumwa corona?, hiyo idadi imetoka wapi?" - Paul Makonda, RC DSM
Good work our focused leader
======
Wananchi wanaingia hasara kwa kukwepa majukumu yao huku mambo yakienda tofauti wanaanza kuilalamikia serikali ili iweze kupatia msaada.
Amesema hayo leo mkuu wa mkoa wa Dar es Salaaam Mh Paul Makonda wakati akikagua mradi wa TARURA katika eneo la Kinondoni shamba ambapo kumekuwa na mgogoro baina ya TARURA na wananchi wa eneo hilo.
Pia amewataka wananchi kuacha kujifanya wajuaji wakati tatizo linapokuwa kubwa kwasababu wakati watu wanaingia katika eneo la mradi ambalo hawatakiwi kuvamia.
Vilevile amewataka wananchi kufanya kazi huku wakichukua tahadhari ya ugonjwa wa Corona wasikae ndani watafute hela ili wasije wakafa na njaa.
“Tokeni ndani mkafanye kazi Corona isiwe kigezo cha kujifungia ndani tumepambana na magonjwa mengi ikiwemo kipindupindu na magonjwa mengine tufanye kazi huku tukichukua tahadhari’amesema Makonda.
Aidha Makonda amekukagua miradi ya barabara inayotekelezwa na TARURA katika wilaya ya Ilala na Kinondoni kujua maendeleo ya miradi hiyo.
“Barabara ni ahadi ya muda mrefu ya Mh Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli ijengwe kutoka makao makuu wa Bakwata hadi Biafra”amesema Makonda.
Hatahivyo amepokea taarifa ya mgogoro kutoka kwa wananchi wa eneo lile kwa kutaka kuvunjiwa nyumba zao bila kupata fidia na walio lipwa wapo na hawajipotiwa na barabara hiyo.
Aidha amewataka wananchi kuwa atatuma kamati yake ifanye ukaguzi na wataanza jumatatu ili walete majibu kamili ili mradi huo uende kwa haraka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana,Kauli za kiume hiziKama tumeandikiwa kufa kwa korona acha tufe tukiwa tumesimama, sio kufa umejificha chumbani.
Kila MTU afanye kazi kama kawaida japo kwa umakini.
Unaweza kudhihilisha uchina walivyo fungiwa ndani walikuwa wavivu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yuko sahihi kwa sababu asilimia kubwa ya watu kwa nchi zetu za afrika hatuna ajira za kulipwa kwa mwezi. Afya yako ndio ajira, ukiamka salama asubuhi lazima utoke ukaangaike ndio mlo wa nyumbani upatikane. Kwa hiyo ukikaa nyumbani ina maanisha kwamba maisha yako na wanao kutegemea yapo hatarini kwa njaa. Na amekosea kwa kutotekeleza anacho kisema/anacho kisimamia. Ukiangalia kwenye hiyo video utaona jinsi anavyo jichanga aidha na wasaidizi wake ama wakandarasi alio kwenda kuwakagua, ili kauli yake isibaki kuwa kauli tu, ilitakiwa hao anao ongozana nao kila mmoja awe umbali usio pungua mita 1 na nusu kwa mwenzake ili kuonyesha mfano kwamba fanyeni kazi lakini huu ndio utaratibu unao takiwa. Bila ya hivyo watu watachukulia kwamba kiongozi amesema tufanye kazi, lakini zile taratibu hazitotiliwa mkazo kwani kiongozi mwenyewe hakuonyesha mfano huo.Hapo wewe unaonaje ? Yuko sahihi au amekosea
"Tokeni kafanyeni kazi eti Watu wanafunga maduka, wanajifungia majumbani kisa Corona, mtakufa na njaa, ndio maana leo nawafuatilia wakandarasi, sasa nimkute mkandaraai hayupo site kisa corona, kuna wapuuzi huko wanasema Serikali inadanganya idadi imeongezeka, kwenu kuna Mtu amekufa na corona?, kuna Mtu kwenu anaumwa corona?, hiyo idadi imetoka wapi?" - Paul Makonda, RC DSM
Good work our focused leader
======
Wananchi wanaingia hasara kwa kukwepa majukumu yao huku mambo yakienda tofauti wanaanza kuilalamikia serikali ili iweze kupatia msaada.
Amesema hayo leo mkuu wa mkoa wa Dar es Salaaam Mh Paul Makonda wakati akikagua mradi wa TARURA katika eneo la Kinondoni shamba ambapo kumekuwa na mgogoro baina ya TARURA na wananchi wa eneo hilo.
Pia amewataka wananchi kuacha kujifanya wajuaji wakati tatizo linapokuwa kubwa kwasababu wakati watu wanaingia katika eneo la mradi ambalo hawatakiwi kuvamia.
Vilevile amewataka wananchi kufanya kazi huku wakichukua tahadhari ya ugonjwa wa Corona wasikae ndani watafute hela ili wasije wakafa na njaa.
“Tokeni ndani mkafanye kazi Corona isiwe kigezo cha kujifungia ndani tumepambana na magonjwa mengi ikiwemo kipindupindu na magonjwa mengine tufanye kazi huku tukichukua tahadhari’amesema Makonda.
Aidha Makonda amekukagua miradi ya barabara inayotekelezwa na TARURA katika wilaya ya Ilala na Kinondoni kujua maendeleo ya miradi hiyo.
“Barabara ni ahadi ya muda mrefu ya Mh Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli ijengwe kutoka makao makuu wa Bakwata hadi Biafra”amesema Makonda.
Hatahivyo amepokea taarifa ya mgogoro kutoka kwa wananchi wa eneo lile kwa kutaka kuvunjiwa nyumba zao bila kupata fidia na walio lipwa wapo na hawajipotiwa na barabara hiyo.
Aidha amewataka wananchi kuwa atatuma kamati yake ifanye ukaguzi na wataanza jumatatu ili walete majibu kamili ili mradi huo uende kwa haraka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lugha ndio tatizo? Omba tafsiri uelewe hiyo tafiti ya maambukizo,Upo gizani kweli ndugu.Aisee, kabla ya kuandika vingereza vyako vya kukopi wikipedia ebu jiulize ni waTZ wangapi wanaweza kuishi siku 30 wakiwa wamejifungia ndani bila kufanya kazi?? kwa uchumi gani ??
Sent from my iPhone using JamiiForums