elewa kwanza kabla ya kumquote Mtu.
Nimesema kazi tufanye ila kwa umakini.
Hapo wewe unaonaje ? Yuko sahihi au amekosea
Bashite katika ubora wake yani kiongozi wa kijinga haijawahi kutokea
Tanzania wananchi wanajifungia ndani lakin Serikal inawahamasisha watoke Nje wafanye kazi
Kwingineko Duniani Wananchi wanataka kutoka nje kuchapa kazi Serikal zao zinawazuia kwa hofu ya Corona
Maana yake Wananchi wa TZ ni waoga na wavivu wakati Serikal yao ni ya kijasiri na kichapa kazi
Kwingineko Serikal zao za kivivu na kioga wakati wanancho wao ni wachapakazi na majasiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi hata kunawa usiwe una nawa Yan endelea na maisha yako vile vile kama zamani
Ujaandikiwa kufa na corona