Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Iwapo hata ulaya na marekani hawakuweza kutoa barakoa za bure bongo watawezaje?Yeye anavaa masks kwa bajeti za hayo mabilioni ya kupambana na corona na ana mishahara na marupurupu chungu tele. Kwa nini na wengine wasifaidike nayo!? Au waliotoa walisema watumie wao wenye madaraka!?
Cc mbingunikwetuPamoja na maelezo yako hafifu...ukitazama hiki ulichoandika unahisi umejibu hiyo comment ya mdau...
Pia kwa taarifa yako hiyo bei ya 25oo ni bei ya kitapeli fuatilia bei yake halisi ndio utaelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wanatamani sana ibada zisitishwe! Hawa bila shaka ni wachawi!! Maombi yakipamba moto wanashindwa kuruka na ungo!! Kipindi hiki si cha ksitisha ibada bali cha kuongeza ibada na Mungu atatuponya na janga hili!Na kanisani twende na barakoa au
. Tutasalije sasa [emoji23]
Jamani si ibada zisitishwe tu
[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kanuni ya bei sokoni kwa mujibu wa soko huria huzingatia wingi wa uhitaji!!Pamoja na maelezo yako hafifu...ukitazama hiki ulichoandika unahisi umejibu hiyo comment ya mdau...
Pia kwa taarifa yako hiyo bei ya 25oo ni bei ya kitapeli fuatilia bei yake halisi ndio utaelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu mpagani utamjua tu kwa maneno yake! Ibada haijawahi kuwa na faida kwa mpagani wa moyoni!! Huyo huenda kanisani kama maficho ya upagani wake tu!! Kwake hakuna tofauti kati ya kusali kanisani na kutokusali. Kwake huyo hakuna faida ya kwenda ibadani na hakuna hasara ya kutokuenda ibadani.Hivi kweli na akili zako unaenda kanisani kufanya nini?
Upstairs uko vizuri kweli?
Yani hadi Makonda akuambie usiende kanisani ndio utaacha kwenda?
Aisee! Halafu bado anajimwambafai eti yuko juu kwa kila kitu hata wale waliocheza naye!Mtu alieambulia Mazero kwenye chuo cha Uvuvi bagamoyo unafikiri akili zake zikoje
Nani amekuzuia kuji-lockdown wewe mwenyewe na familia yako?Barakoa million Hamsini na Tano(55,000,000) au tuseme Million Saba(7,000,000) lockdown is necessary
Ashukuru kodi zetu huyo bila hivyo huku mitaani labda angeuza wowowo ili aweze kuishiAisee! Halafu bado anajimwambafai eti yuko juu kwa kila kitu hata wale waliocheza naye!
Bosi utamuambia umekwenda wapiNani amekuzuia kuji-lockdown wewe mwenyewe na familia yako?
Huhitaji ruhusa ya mtu kujifungia mwenyewe!! Anza wewe kujilockdown mwenyewe!
Na kanisani twende na barakoa au
. Tutasalije sasa [emoji23]
Jamani si ibada zisitishwe tu
[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ibada na maombezi je? Misongomano katika misikiti na makansani je? Wao hawahusiki?Kabisa