Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,112
- 4,361
Tibisii hii ninayoijua mimi ya bamaga????? acha masihara weweMaelekezo yote yanayolenga kupunguza maambukizi yaungwe mkono.
Makonda kwenye hili anastahili kuungwa mkono lakini anatakiwa kwenda mbele zaidi.
Ushauri wangu ni kuwa mikusanyiko ya ibada idhibitiwe. Kila msikiti au kanisa, siku za ibada, idadi ya washiriki isizidi watu 20 - 30 kwa kutegemea ukubwa wa jengo. Kuwe na umbali usiopungua mita 10 kutoka mtu mmoja hadi mwingine. Watu wengine wafuatilie ibada kwa kupitia televison majumbani mwao, wakiona inafaa. Na wale wanaoona wanaweza kuandaa utaratibu wao wa ibada majumbani wafanye hivyo.
TBC watoa ratiba za ibada kwa kila dhehebu na dini.
Sent using Jamii Forums mobile app