RC Mhita: Shinyanga tumepokea shilingi 113.33 bilioni toka kwa Rais Samia kwaajili ya Miradi ya maji

Mwanahabari Huria

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2025
Posts
406
Reaction score
308

​

​

Tazama hii hapa kazi ya Rais Samia ya miaka minne katika Mkoa wa Shinyanga kwenye sekta ya Maji ambapo tayari TZS113.33bilioni​

​

Muhtasari wa Miradi ya Maji – Mkoa wa Shinyanga (2020–2025)​


Kipengele Taarifa
Fedha zilizopokelewaTZS bilioni 113.33
Upatikanaji wa maji safi mijiniUmeongezeka kutoka 63% (2020) hadi 79% (2025)
Upatikanaji wa maji vijijiniUmeongezeka kutoka 51% (2020) hadi 68% (2025)
Vijiji vyenye huduma ya majiVimeongezeka kutoka 162 hadi 384 – ongezeko la vijiji 222
Miradi iliyokamilika vijijini64 miradi – inatoa huduma ya maji
Miradi inayoendelea vijijini75 miradi – utekelezaji umefikia wastani wa 62%
Mradi wa maji wa Ziwa VictoriaUnatekelezwa katika vijiji 111 vya Kishapu, Shinyanga, na Kahama

Miradi mikubwa ya maji mkoa wa Shinyanga​

Na.Jina la MradiWilayaHali ya UtekelezajiMwaka
1Mradi wa Maji MwakitolyoShinyanga DCUmekamilika2023
2Mradi wa Maji MondoKahama MCUnaendelea (65%)2024
3Mradi wa Ziwa Victoria - MwamasheleKishapuUnaendelea (Ziwa Victoria)2025
 
Mijitu bana, kutoka kwa Samia ama kutoka Serikali kuu.
 
RC Mhita:
Shinyanga imepokea shilingi 113.33 bilioni toka kwenye kodi za watanzania kwaajili ya Miradi ya maji
Kila kitu samia samia,
Zisingeingia kwenye mradi zingekua zake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…