Mwanahabari Huria
JF-Expert Member
- Jan 29, 2025
- 406
- 308
- Thread starter
- #21
yeye ndio mtendaji wetu muuRC Mhita:
Shinyanga imepokea shilingi 113.33 bilioni toka kwenye kodi za watanzania kwaajili ya Miradi ya maji
Kila kitu samia samia,
Zisingeingia kwenye mradi zingekua zake?