Mwanahabari Huria
JF-Expert Member
- Jan 29, 2025
- 406
- 308
- Thread starter
-
- #21
yeye ndio mtendaji wetu muuRC Mhita:
Shinyanga imepokea shilingi 113.33 bilioni toka kwenye kodi za watanzania kwaajili ya Miradi ya maji
Kila kitu samia samia,
Zisingeingia kwenye mradi zingekua zake?
Safi sana hii,CCM naona mmeamua kuwa chama Cha siasa toka chama dola, haya mambo mlitakiwa kuyafanya miaka yote Mitano sio Leo kwenye Kampeni
taarifa nzuri sana hii
View attachment 3430513
Tazama hii hapa kazi ya Rais Samia ya miaka minne katika Mkoa wa Shinyanga kwenye sekta ya Maji ambapo tayari TZS113.33bilioni
Muhtasari wa Miradi ya Maji – Mkoa wa Shinyanga (2020–2025)
Kipengele Taarifa Fedha zilizopokelewa TZS bilioni 113.33 Upatikanaji wa maji safi mijini Umeongezeka kutoka 63% (2020) hadi 79% (2025) Upatikanaji wa maji vijijini Umeongezeka kutoka 51% (2020) hadi 68% (2025) Vijiji vyenye huduma ya maji Vimeongezeka kutoka 162 hadi 384 – ongezeko la vijiji 222 Miradi iliyokamilika vijijini 64 miradi – inatoa huduma ya maji Miradi inayoendelea vijijini 75 miradi – utekelezaji umefikia wastani wa 62% Mradi wa maji wa Ziwa Victoria Unatekelezwa katika vijiji 111 vya Kishapu, Shinyanga, na Kahama
Miradi mikubwa ya maji mkoa wa Shinyanga
Na. Jina la Mradi Wilaya Hali ya Utekelezaji Mwaka 1 Mradi wa Maji Mwakitolyo Shinyanga DC Umekamilika 2023 2 Mradi wa Maji Mondo Kahama MC Unaendelea (65%) 2024 3 Mradi wa Ziwa Victoria - Mwamashele Kishapu Unaendelea (Ziwa Victoria) 2025
Quality ya kazi izingatiwe, Inaonekana imejengwa mradi tu.

nini hiyoYa kula bila kunawa
Rais Samia ameibuka kuwa kiongozi shupavu, mwenye dira na maono makubwa kwa taifa letu; ndani ya kipindi kifupi cha uongozi wake ameandika historia mpya kwa kusimamia mageuzi ya kiuchumi, kijamii na kisiasa kwa hekima na busara, huku akilinda amani na mshikamano wa kitaifa; chini ya uongozi wake, Tanzania imeshuhudia kasi ya maendeleo katika miundombinu mikubwa, upatikanaji wa huduma bora za afya na elimu, upanuzi wa miradi ya maji na umeme, ukuaji wa diplomasia ya uchumi na ongezeko la fursa kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu; kwa hakika, Rais Samia ni kielelezo cha ujasiri, mfano wa uongozi wa kidemokrasia na taa ya matumaini inayoliinua taifa kuelekea uchumi wa kisasa na maendeleo jumuishi.