RC mpya wa Geita ashangaa stendi kuu ya Mkoa kuwa ya matope wakati kuna utajiri wa dhahabu

Yaani NI kwamba ameteuliwa kuongoza mkoa ambao hata hajawahi kufika? Naona hii inakuwa Shida maana cheo hicho ni cha kisiasa inafaa mteuliwa awe anaufaham mkoa huo.
 
Ina maana wameshindwa hata kuwaambia mabeberu wamwage hata changarawe tu hii ni aibu sana si ajabu na ushuru wa stand wanachukua
 
Lami inadumu miaka mingapi hadi ije ifae.Kila kitu cha faa kulingana na vipaumbele vya mahitaji husika.je uwanja ni wa lzm sana kuliko vyuo vya ufundi?,
 

Hatuwezi kuwa sawa kwenye utendaji, kuna wengine wanapwaya kwa kukosa weledi na mipango mikakati
 
Mwwwambie ajenge sio ashangae. Usikute akatoka hapo bila hata kujenga choo cha shimo.
 
Atashangaa sana ndo kwanza kawa mkuu wa mkoa,yeye ajiandae kupiga hela za CSR
 
Unalinganisha uwanja wa ndege na Landmarks....... πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Nduhu taabu ,tuliho mayuuu
 
Walijengewa Chato Airport.Kupanga ni kuchagua
 
Siku fursa za maeneo hayo zikifunguka huo uwanja utakuwa kama ule wa Gbadolite ya Mobutu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…