RC Mtaka ataja makabila 5 yanayokuza Uchumi wa Sekta Binafsi Tanzania

Wanyatunzu ni wafanyabiashara
 
Huyo nae mjinga km wajinga wengine kutaja makabila ni ushamba na upumbavu uchumi wa tanzania unaendeshwa na watz wenye asili ya asia nyie ngozi ya laani ndio watumwa wa hao asian
Ameongea ukweli ambao inauma na vile hauko kwenye list lazima uumie 😁😁
 
Kwanza Wapemba si kabila.
Pia sioni mchango wao kiasi cha kusemwa wana mchango mkubwa kuinua uchumi. Sijasikia Mpemba mwenye kiwanda kikubwa hata mmoja. Au kampuni gani kubwa kitaifa ni ya Mpemba?
Safiri uwende Dubai,wachaga na wapemba,ndio wameshika nyanja za kibiashara kule.Ukiwa mgeni Dubai wanakupeleka sehemu za biashara na viwanda ni Wspemba na Wachaga.Kuna maeneo unakutana na wachaga na wapemba utafikiri uko Tanzania.
 
Huyo nae mjinga km wajinga wengine kutaja makabila ni ushamba na upumbavu uchumi wa tanzania unaendeshwa na watz wenye asili ya asia nyie ngozi ya laani ndio watumwa wa hao asian
Kwani watu hawana makabila? Acheni kukuza mambo maana mkisema hivyo badae mtasema kutaja mikoa inayo changia pato la taifa pia ni ukabila hebu acheni ushamba hizo ni takwimu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…