RC Mtaka ataja makabila 5 yanayokuza Uchumi wa Sekta Binafsi Tanzania

Tajiri wa kuvaa kandambili au kulala chumba cha store naye siyo tajiri huyo. Tajiri anafanya malipo usiku tu sasa huo utajiri utumwa?
Ndio ulivyokaririshwa? Tafuta kina Mwajuma wa Tanga mka socialise sie tunatafuta pesa hatuna mda wa kipuuzi
 
acknowledgement ya kikabila imeanza lini? Na unadhani ukabila unaanzaje, kama sio kwa njia hizo?! pia unaweza kunipa faida ya hiyo acknowledgement?
Punguza chuki
Faida zipo lukuki Moja ni kuwapa hamasa wengine wazidi kujituma
 
ukweli umesemwa na ukichunguza ni sahihi.

Eneo lolote lililochangamka kibiashara huwezi kosa hayo makabila 5, na

Wachaga
wakinga
waha
wanyantuzu (wasukuma) From bariadi
Wapemba hawa nahisi zaidi ni Dsm ila mikoa ya pembeni wapemba siyo wengi.

Pia alizungumzia zaidi KARIAKOO

Akasema ukiondoa hayo makabila kariakoo utapafunga coz hao ndiyo wameshika kariakoo.

Utafiti hupingwa kwa utafiti mwingine.
 
Ulitaka wafanye harambee za pesa zao binafsi ndio wakajengee miundombinu ya uchumi ambayo Serikali imeamua Kwa Makusudi kutoipeleka Kigoma? Ndio maana wamekimbia wakaenda kuchukua pesa kwingine na wanazo.
Kabisa umesema vyema.
 
Waha wanaupiga mwingi mdogomdogo ndiyo gari linawaka hivyo.
 
Kuna watu hawakutajwa kwenye list hiyo basi wanaumia sana , ndugu zangu tufanye kazi hiyo list ni sahihi na hajakosea
 
Kuna ukweli makabila watajwa hapo Ni wapambanaji wasio kata tamaa Wana uwezo wa kujinyima ili kufikia malengo ya mafanikio
 
Wahaya hawamiliki maduka mtaani ila tafuta wamiliki wa makampuni makubwa makubwa hotels na logistics company ndo mtaelewa
 
Wahaya hawamiliki maduka mtaani ila tafuta wamiliki wa makampuni makubwa makubwa hotels na logistics company ndo mtaelewa
Hayo makampuni Wachaga wanamiliki kwa wingi sana
Katika orodha ya Soko la hisa dar,katika mabilionea kumi wazungu na wahindi ni 6 weusi wanne,wote Wachaga
Wahaya kwa biashara Bado sana
 
kwasababu yeye mnyantuzu? Hana matokeo ya utafiti, acha ukabila. Hao uliowataja bado ni maskini sana nenda vijijini mwao. Kwanza km amezungumzia huo ujinga hapaswi kuendelea kuwepo kwenye hiyo nafasi.
 
Acha chuki wewe !!! Umenuna!! Wanatajwa waafrika wewe unaleta uhindi!? Akili matope!? Anyway namshangaa huyu RC
 
Waha wanapenda sana kujiajiri, wameiteka Kariakoo, maduka mengi ya vitenge, vifaa ya electonics n.k ni ya Waha. Naona kuna ukweli kiasi flani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…