HOJA RC Mwanza, Said Mtanda, Kwa Huu Ukosefu wa Maji Wiki Zaidi ya 2 Hustahili Kuendelea Kuwa Kazini. Wajibika

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Halafu watu bado wako ofisini!
Kumbe kila mtu akikemea uovu lazima jambo lifanyike!
Ona baada ya uzi huu kuwa hewani na kuhoji jee RC Said Mtanda anastahili kuendelea kukaa ofisini hata kwa siku moja zaidi?
Sasa uwajibikaji umekuwepo! Ila waandishi wao hawaongei haya bali kukimbizana na vibahasha tuu!
 
Sijaelewa sababu za waziri Aweso kumuacha mkurugenzi mkuu ilihali wengine wakisimamishwa kazi.

Huyu amekuwa hapo zaidi ya miaka miwili kila kitu kibatebdeka yeye alikuwepo au aridhia vipi leo aachwe?
 
Kwani ninyi wakazi wa Mwanza ni nani aliyewaloga?
Ujenzi wa uwanja wa ndege ulishakamilika?
Uundaji wa melije?

Hivi SGR ilishafikia hatua gani vile?

Kuna mtu kazungumzia malori ya maji (bowzers}; hivi yule Tumbili, aka "Dalali Mkuu" wa PPP hajafika huko au hayo yaliyopo ni mpango wake.
Nchi hii inaendeshwa kwa utapeli mtupu, na haifiki popote.

Hii miaka tuliyopoteza na huyu mwanamke shetani kabisa tutaijutia sana. Itachukua muda mrefu sana kurekebisha uharibifu unaofanyika tangu ashike madaraka.

Huyo Mtanda anasifiwa kwa jambo gani la maana alilofanya tokea awe hapo Mwanza?
 
Kwa hali inayo endelea katika jiji la Mwanza ambalo limezungukwa na maji ya Ziwa Victoria kukosekana maji na eti RC yupo anazunguka zunguka mjini mjini akipeperusha benders kwenye Gari yake ni aibu ya karne.

RC Said Mtanda anafahamika kuwa ni mtendaji mzuri, lakini nadhani atakuwa Sasa amechoka na anapaswa kupumzika au pengine sifa anazozipata ni mapambio yanayo tengenezwa na waandishi wa habari kwa sababu zao binafsi.

Mbona hili tatizo la maji linachukuliwa kwa udogo sana kuliko hali halisi?

Majumbani maji hakuna, mashuleni hakuna hata mahospitalini? Na bwana Said Mtanda kakaa tu ofisini? Hakuna ufuatiliaji kwa uzito au kuwajibishwa watu?

Soma Pia: Ukosefu wa Maji kwa Wiki 3 – Maeneo ya Chuo cha SAUT - Mwanza

Ila wakatimwingine ni kuifikiria serikali nzima katika suala la uwajibikaji na kutikisa kichwa tuu!
Poleni sana huko Mwanza, maana twaweza kuja huko na kuondoka bila kuoga! Labda watapaweza kina Pascal Mayalla maana nyumbani ni nyumbani
Huyu pale Mwanza amekalia kula vichwa vya SATO nakufumuka Tumbo
 
Ujenzi wa uwanja wa ndege ulishakamilika?
Uundaji wa melije?

Hivi SGR ilishafikia hatua gani vile?

Kuna mtu kazungumzia malori ya maji (bowzers}; hivi yule Tumbili, aka "Dalali Mkuu" wa PPP hajafika huko au hayo yaliyopo ni mpango wake.
Nchi hii inaendeshwa kwa utapeli mtupu, na haifiki popote.

Hii miaka tuliyopoteza na huyu mwanamke shetani kabisa tutaijutia sana. Itachukua muda mrefu sana kurekebisha uharibifu unaofanyika tangu ashike madaraka.

Huyo Mtanda anasifiwa kwa jambo gani la maana alilofanya tokea awe hapo Mwanza?
Heche hupenda kuuliza; nitajie kitu kimoja ambacho watawala hawa wamefanya wakafanikiwa miaka 65 tangu uhuru na kutaka kumteka.

Miaka ya 80 Mwanza ikiwa ni town council, huduma zote muhimu zilipatikana kwa serikali kuhakikisha watu wanaidhi salama.

Nawaumbuka wafanyaka,i wa council wakipita nyumba kwa nyumba kufanya fumigation, achilia huduma.nyingine hata bustani nzuri za kupumzika!.

Leo,badala kwenda mbele tumekuwa kituko,sio uwanja wa ndege, SGR, Mv Mwanza haijulikani imekumbwa na maswibu gani. Hapo hujaangalia maji na barabara ambazo ni janga.

Mwanza inahitaji viongozi tofauti na watawala walipo wenye kujali ubinafsi zaidi badala ya kuwajibika kwa wananchi.
 
Kwa hali inayo endelea katika jiji la Mwanza ambalo limezungukwa na maji ya Ziwa Victoria kukosekana maji na eti RC yupo anazunguka zunguka mjini mjini akipeperusha benders kwenye Gari yake ni aibu ya karne.

RC Said Mtanda anafahamika kuwa ni mtendaji mzuri, lakini nadhani atakuwa Sasa amechoka na anapaswa kupumzika au pengine sifa anazozipata ni mapambio yanayo tengenezwa na waandishi wa habari kwa sababu zao binafsi.

Mbona hili tatizo la maji linachukuliwa kwa udogo sana kuliko hali halisi?

Majumbani maji hakuna, mashuleni hakuna hata mahospitalini? Na bwana Said Mtanda kakaa tu ofisini? Hakuna ufuatiliaji kwa uzito au kuwajibishwa watu?

Soma Pia: Ukosefu wa Maji kwa Wiki 3 – Maeneo ya Chuo cha SAUT - Mwanza

Ila wakatimwingine ni kuifikiria serikali nzima katika suala la uwajibikaji na kutikisa kichwa tuu!
Poleni sana huko Mwanza, maana twaweza kuja huko na kuondoka bila kuoga! Labda watapaweza kina Pascal Mayalla maana nyumbani ni nyumbani
Yule bwana Saidi hana uwezo kabisa zaidi ya majungu. Ana uwezo mdogo sana sijui kwanini walimpa ukuu wa mkoa. Uwezo hana kabisa, labda awe Dc
 
Kwa hali inayo endelea katika jiji la Mwanza ambalo limezungukwa na maji ya Ziwa Victoria kukosekana maji na eti RC yupo anazunguka zunguka mjini mjini akipeperusha benders kwenye Gari yake ni aibu ya karne.

RC Said Mtanda anafahamika kuwa ni mtendaji mzuri, lakini nadhani atakuwa Sasa amechoka na anapaswa kupumzika au pengine sifa anazozipata ni mapambio yanayo tengenezwa na waandishi wa habari kwa sababu zao binafsi.

Mbona hili tatizo la maji linachukuliwa kwa udogo sana kuliko hali halisi?

Majumbani maji hakuna, mashuleni hakuna hata mahospitalini? Na bwana Said Mtanda kakaa tu ofisini? Hakuna ufuatiliaji kwa uzito au kuwajibishwa watu?

Soma Pia: Ukosefu wa Maji kwa Wiki 3 – Maeneo ya Chuo cha SAUT - Mwanza

Ila wakatimwingine ni kuifikiria serikali nzima katika suala la uwajibikaji na kutikisa kichwa tuu!
Poleni sana huko Mwanza, maana twaweza kuja huko na kuondoka bila kuoga! Labda watapaweza kina Pascal Mayalla maana nyumbani ni nyumbani
Kwani yeye ndio supplier wa maji ?
 
Mara nyingi mtu akinenepa hovyo hovyo na akili yake inakua finyu .
 
Kuna mtu kazungumzia malori ya maji (bowzers}; hivi yule Tumbili, aka "Dalali Mkuu" wa PPP hajafika huko au hayo yaliyopo ni mpango wake.
Nchi hii inaendeshwa kwa utapeli mtupu, na haifiki popote.
Inasemwa kuwa tumbili wa Escrow wakikutana na huyu wa PPP, ugomvi wake mpaka uji uje kiwanjani.

Ni alama sasahi ya wanasiasa wengi wa Afrika.

Ni ajabu kuwa malori ya mamlaka ya maji, Mwauwasa, yanafanya biashara ya kuuza maji, ambyo walipaswa kuwasambazia wanchi.
 
Maeneo mengi ya hili linaloitwa jiji hayana maji kwa zaidi ya wiki hizo mbili, yapo ambko maji hayajatoka hadi miezi minne.

Nimedokezwa eti shida ni umeme kucheza cheza hivyo kuunguza pampu za kusukuma maji!

Najiuliza katika zama hizi kweli hilo linaweza kuwa tatizo? Na vipi yale maeneo ambako maji hayakosi wao wanatumia umeme kutoka wapi?
ChoiceVariable
Lucas Mwashambwa
 
Angalau ubabe wake unaifanya Rwanda kusonga mbele, wakati sisi tukirudi nyuma kwa kasi na kukumbatia uchawa.
 
Back
Top Bottom