Kumbe kila mtu akikemea uovu lazima jambo lifanyike!Halafu watu bado wako ofisini!
Sijaelewa sababu za waziri Aweso kumuacha mkurugenzi mkuu ilihali wengine wakisimamishwa kazi.Kumbe kila mtu akikemea uovu lazima jambo lifanyike!
Ona baada ya uzi huu kuwa hewani na kuhoji jee RC Said Mtanda anastahili kuendelea kukaa ofisini hata kwa siku moja zaidi?
Sasa uwajibikaji umekuwepo! Ila waandishi wao hawaongei haya bali kukimbizana na vibahasha tuu!
Nje ya mada: hivi mtu anaweza fanya zoezi hatarishi namna hii au ni show off tu za mitandaoni?Kufanya maamuzi magumu hakuhitaji vikao aisèe View attachment 3606732
Ujenzi wa uwanja wa ndege ulishakamilika?Kwani ninyi wakazi wa Mwanza ni nani aliyewaloga?
Huyu pale Mwanza amekalia kula vichwa vya SATO nakufumuka TumboKwa hali inayo endelea katika jiji la Mwanza ambalo limezungukwa na maji ya Ziwa Victoria kukosekana maji na eti RC yupo anazunguka zunguka mjini mjini akipeperusha benders kwenye Gari yake ni aibu ya karne.
RC Said Mtanda anafahamika kuwa ni mtendaji mzuri, lakini nadhani atakuwa Sasa amechoka na anapaswa kupumzika au pengine sifa anazozipata ni mapambio yanayo tengenezwa na waandishi wa habari kwa sababu zao binafsi.
Mbona hili tatizo la maji linachukuliwa kwa udogo sana kuliko hali halisi?
Majumbani maji hakuna, mashuleni hakuna hata mahospitalini? Na bwana Said Mtanda kakaa tu ofisini? Hakuna ufuatiliaji kwa uzito au kuwajibishwa watu?
Soma Pia: Ukosefu wa Maji kwa Wiki 3 – Maeneo ya Chuo cha SAUT - Mwanza
Ila wakatimwingine ni kuifikiria serikali nzima katika suala la uwajibikaji na kutikisa kichwa tuu!
Poleni sana huko Mwanza, maana twaweza kuja huko na kuondoka bila kuoga! Labda watapaweza kina Pascal Mayalla maana nyumbani ni nyumbani
Heche hupenda kuuliza; nitajie kitu kimoja ambacho watawala hawa wamefanya wakafanikiwa miaka 65 tangu uhuru na kutaka kumteka.Ujenzi wa uwanja wa ndege ulishakamilika?
Uundaji wa melije?
Hivi SGR ilishafikia hatua gani vile?
Kuna mtu kazungumzia malori ya maji (bowzers}; hivi yule Tumbili, aka "Dalali Mkuu" wa PPP hajafika huko au hayo yaliyopo ni mpango wake.
Nchi hii inaendeshwa kwa utapeli mtupu, na haifiki popote.
Hii miaka tuliyopoteza na huyu mwanamke shetani kabisa tutaijutia sana. Itachukua muda mrefu sana kurekebisha uharibifu unaofanyika tangu ashike madaraka.
Huyo Mtanda anasifiwa kwa jambo gani la maana alilofanya tokea awe hapo Mwanza?
Alijitega ili apigwe picha tu huyu boya...Nje ya mada: hivi mtu anaweza fanya zoezi hatarishi namna hii au ni show off tu za mitandaoni?
Yule bwana Saidi hana uwezo kabisa zaidi ya majungu. Ana uwezo mdogo sana sijui kwanini walimpa ukuu wa mkoa. Uwezo hana kabisa, labda awe DcKwa hali inayo endelea katika jiji la Mwanza ambalo limezungukwa na maji ya Ziwa Victoria kukosekana maji na eti RC yupo anazunguka zunguka mjini mjini akipeperusha benders kwenye Gari yake ni aibu ya karne.
RC Said Mtanda anafahamika kuwa ni mtendaji mzuri, lakini nadhani atakuwa Sasa amechoka na anapaswa kupumzika au pengine sifa anazozipata ni mapambio yanayo tengenezwa na waandishi wa habari kwa sababu zao binafsi.
Mbona hili tatizo la maji linachukuliwa kwa udogo sana kuliko hali halisi?
Majumbani maji hakuna, mashuleni hakuna hata mahospitalini? Na bwana Said Mtanda kakaa tu ofisini? Hakuna ufuatiliaji kwa uzito au kuwajibishwa watu?
Soma Pia: Ukosefu wa Maji kwa Wiki 3 – Maeneo ya Chuo cha SAUT - Mwanza
Ila wakatimwingine ni kuifikiria serikali nzima katika suala la uwajibikaji na kutikisa kichwa tuu!
Poleni sana huko Mwanza, maana twaweza kuja huko na kuondoka bila kuoga! Labda watapaweza kina Pascal Mayalla maana nyumbani ni nyumbani
Kwani yeye ndio supplier wa maji ?Kwa hali inayo endelea katika jiji la Mwanza ambalo limezungukwa na maji ya Ziwa Victoria kukosekana maji na eti RC yupo anazunguka zunguka mjini mjini akipeperusha benders kwenye Gari yake ni aibu ya karne.
RC Said Mtanda anafahamika kuwa ni mtendaji mzuri, lakini nadhani atakuwa Sasa amechoka na anapaswa kupumzika au pengine sifa anazozipata ni mapambio yanayo tengenezwa na waandishi wa habari kwa sababu zao binafsi.
Mbona hili tatizo la maji linachukuliwa kwa udogo sana kuliko hali halisi?
Majumbani maji hakuna, mashuleni hakuna hata mahospitalini? Na bwana Said Mtanda kakaa tu ofisini? Hakuna ufuatiliaji kwa uzito au kuwajibishwa watu?
Soma Pia: Ukosefu wa Maji kwa Wiki 3 – Maeneo ya Chuo cha SAUT - Mwanza
Ila wakatimwingine ni kuifikiria serikali nzima katika suala la uwajibikaji na kutikisa kichwa tuu!
Poleni sana huko Mwanza, maana twaweza kuja huko na kuondoka bila kuoga! Labda watapaweza kina Pascal Mayalla maana nyumbani ni nyumbani
Mara nyingi mtu akinenepa hovyo hovyo na akili yake inakua finyu .Kwa hali inayo endelea katika jiji la Mwanza ambalo limezungukwa na maji ya Ziwa Victoria kukosekana maji na eti RC yupo anazunguka zunguka mjini mjini akipeperusha benders kwenye Gari yake ni aibu ya karne.
RC Said Mtanda anafahamika kuwa ni mtendaji mzuri, lakini nadhani atakuwa Sasa amechoka na anapaswa kupumzika au pengine sifa anazozipata ni mapambio yanayo tengenezwa na waandishi wa habari kwa sababu zao binafsi.
Mbona hili tatizo la maji linachukuliwa kwa udogo sana kuliko hali halisi?
Majumbani maji hakuna, mashuleni hakuna hata mahospitalini? Na bwana Said Mtanda kakaa tu ofisini? Hakuna ufuatiliaji kwa uzito au kuwajibishwa watu?
Soma Pia: Ukosefu wa Maji kwa Wiki 3 – Maeneo ya Chuo cha SAUT - Mwanza
Ila wakatimwingine ni kuifikiria serikali nzima katika suala la uwajibikaji na kutikisa kichwa tuu!
Poleni sana huko Mwanza, maana twaweza kuja huko na kuondoka bila kuoga! Labda watapaweza kina Pascal Mayalla maana nyumbani ni nyumbani
Tusaidie nasi kuelewa, hivi pale Mwanza, amepelekwa kufanya nini?acha kumwonea Mkuu wa Mkoa hilo siyo jukumu lake.
SanaRC ni Fundi Bomba?
Inasemwa kuwa tumbili wa Escrow wakikutana na huyu wa PPP, ugomvi wake mpaka uji uje kiwanjani.Kuna mtu kazungumzia malori ya maji (bowzers}; hivi yule Tumbili, aka "Dalali Mkuu" wa PPP hajafika huko au hayo yaliyopo ni mpango wake.
Nchi hii inaendeshwa kwa utapeli mtupu, na haifiki popote.
ChoiceVariableMaeneo mengi ya hili linaloitwa jiji hayana maji kwa zaidi ya wiki hizo mbili, yapo ambko maji hayajatoka hadi miezi minne.
Nimedokezwa eti shida ni umeme kucheza cheza hivyo kuunguza pampu za kusukuma maji!
Najiuliza katika zama hizi kweli hilo linaweza kuwa tatizo? Na vipi yale maeneo ambako maji hayakosi wao wanatumia umeme kutoka wapi?
Angalau ubabe wake unaifanya Rwanda kusonga mbele, wakati sisi tukirudi nyuma kwa kasi na kukumbatia uchawa.833K views · 10K reactions | Rais Paul Kagame alitishia kuwakimbiza mchakamchaka viongozi wa serikali, wakiwemo mawaziri, magavana wa mikoa na wakuu wa wilaya. Hayo yalijiri katika mkutano uliofanyika Jumatatu kwenye kambi ya jeshi ya Gako kusini mas
Rais Paul Kagame alitishia kuwakimbiza mchakamchaka viongozi wa serikali, wakiwemo mawaziri, magavana wa mikoa na wakuu wa wilaya. Hayo yalijiri katika mkutano uliofanyika Jumatatu kwenye kambi ya...www.facebook.com
Tusaidie nasi kuelewa, hivi pale Mwanza, amepelekwa kufanya nini?
Kweli sio jukumu lake, kwa kuwa mawaziri wapo yeye, kinachomhangaisha nini?acha kumwonea Mkuu wa Mkoa hilo siyo jukumu lake.