RC Tanga unahangaika na nini kusema na kuupamba uongo ? Yuko peke yake, hana mshindani ameshapita. kwanini utende dhambi ya kusema UONGO

RC Tanga unahangaika na nini kusema na kuupamba uongo ? Yuko peke yake, hana mshindani ameshapita. kwanini utende dhambi ya kusema UONGO

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Arsenals zote ziko at her disposal, such as so-called tume "huru" ya uchaguzi, polisi, fedha zote za nchi and all oppressive machinery you can think of are at her disposal, sasa RC unahangaika nini na uongo wa data za social services mkoani Tanga?


upuuzi kama huu.............Tanga woooooooooooooooooote ni wajinga? hakuna ambaye anaweza ku differentiate things and sometimes integrate them!





Relax, kula yako iko pale pale! Cool down! Si vema kuwafanya watu wote wajinga!
 
Naona kaibuka ghafla na matakwimu kutuchosha tu, wabongo hatutaki vitu vigumu na hasa manamba na mahesabu, atupumzishe bana!

Anataka kujihakikishia uteuzi serekali mpya ikija labda
 
Anapambana baada ya uchaguzi awe considered beyond RC level bearing in mind she is a PhD holder
 
Anapambana baada ya uchaguzi awe considered beyond RC level bearing in mind she is a PhD holder
PhD ya wapi? Mwaka gani? au ni zile za so called Kampala University?
 
Back
Top Bottom