Kazi za Rais Samia zinatisha sana ndio maana tunasema anafaa sanaNdio zao MaCCM hasa waliokaribu na inner circle ..filimbi tu...ngoja aje Kafulila sasa..
PhD ya wapi? Mwaka gani? au ni zile za so called Kampala University?Anapambana baada ya uchaguzi awe considered beyond RC level bearing in mind she is a PhD holder