RC wa Dar es Salaam kutoa usafiri kwa Ombaomba wanaotaka kurudi makwao mwezi wa 6

RC wa Dar es Salaam kutoa usafiri kwa Ombaomba wanaotaka kurudi makwao mwezi wa 6

Itakuwaje kama hawa omba omba ni wazawa wa dsm?
Tutawapeleka Dodoma watakuwa hata hawapokwenye hatari ya kugongwa na magari. Na wafanya maamuzi wengi wapo huko, hivyo wanaweza kuona kwa haraka njia bora ya kuwawezesha.
 
Siyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu.

Leo wametangaza maandamano ya kudai katiba mpya na tume huru yani wanataka rais aache kufocus na kukamilisha SGR ,Bwawa la nyerere ,ajira, viwanda ambavyo ndiyo hitaji la wananchi akaanze kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili ya katiba ambayo ni hitaji la wanasiasa tu?

Mbaya zaidi wanataka mchakato wa katiba uanze upyaaaaa na siyo pale ulipoishia zamani
 
Binafsi nafikiri huo sio utatutuzi sahihi sana na haujawahi kufankiwa; kwani wengi wametoka kwao kutokana na hali ngumu ya maisha; Ila wale watoto wadogo ndio wanatakiwa wachukuliwe hatua stahiki ili warudi mashuleni

Kuhusu wazee ombaomba ningependekeza aanzishe nyumba ya wazee kwa majaribio, na akawaomba watu wanaopenda kusaidia wazee wakawasaidie wakiwa huko. Naaamini misikiti au makanisa yanaweza kutupatia watumishi sahihi waaminifu wa kuwaangalia kwa uaminifu mkubwa ili isiwe dili la watu. Yule mzee atakaye toroka ndiye arushwe kwao haraka iwezekanavyo.

Angeweza kuanza na wanawake 50 na wanaume 50 na amini makanisa na misikiti wakihamasishwa wanaweza kuendesha hiyo nyumba bila shida LAKINI pia Serikali isikwepe jukumu lake.

Ikiwepo hiyo nyumba kwa kila wilaya za Majiji na watoto wakarudishwa Shuleni, naamini tatizo litakuwa limepungua walau kwa 70% na sehemu nyingine kwa 100%
 
Siyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu...
Jamaa watu wa ajabu Sana hao ....

Baadhi ya nchi za AFRIKA zimegubikwa na machafuko na chanzo huwa ni WANASIASA......
 
... haki ya kikatiba ya mtanzania kuishi popote nchini inalindwa vipi? Tusiseme hao ni ombaomba; akiwamaliza hao.atarudi kwetu! Tusimame upande wa haki bila kuangalia sura.
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla ameagiza viongozi wa Wilaya zote pamoja na Halmashauri zote za Mkoa wa Dar es Salaam kuwakusanya na kuwasomba omba omba wote na kuwarejesha makwao
View attachment 1799523
Kaka huo ni moto wa kifuu tu maana kazi ya kuwatimua ombaomba haikuanza leo.

Na huo ni muendelezo wa wanasiasa kutafuta kiingilio cha jijini.

1:Makonda alipiga marufuku kabisa ombaomba kuonekana jijini...akashindwa.
 
Wengi wao wana nguvu, hawafanyi kazi na wanazidi kuzaliana
Warudi makwao
Si ndio definition ya Mnyonge mliokuwa mkiikatia viuno wakati wa Utawala wa Mwendazake nini kimewakuta mpaka mumepiga u turn?

huhkoby.png
 
Mawakala wa Omba omba....

Mawakala wa Omba omba....

Mawakala wa Omba omba.....

#MakallaNaDarYake
#KaziIendelee
 
Back
Top Bottom