RC wa Dar es Salaam kutoa usafiri kwa Ombaomba wanaotaka kurudi makwao mwezi wa 6

RC wa Dar es Salaam kutoa usafiri kwa Ombaomba wanaotaka kurudi makwao mwezi wa 6

inshallah mungu akujazie pasipo kukupimia!!ameen
giphy (2).gif
 
Hao jamaa huwa wanapelekwa kwao na kurudi, nauli wanazo, itafutwe njia itakayowafanya watulie wakifika kwao, kama ni kutunga sheria or whatever I don't know.
Waanzishe tu kijiji cha ombaomba ekari kama elfu 5 kila omba omba akikamatwa popote Tanzania apelekwe huko akatiwe sehemu alime. Wanajeshi wetu watoe ulinzi kuhakikisha kutoroka haiwezekani. Baada ya miaka kadhaa hutaona omba omba mjini kwa hofu akikamatwa ataishia kijiji cha ombaomba.
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla ameagiza viongozi wa Wilaya zote pamoja na Halmashauri zote za Mkoa wa Dar es Salaam kuwakusanya na kuwasomba omba omba wote na kuwarejesha makwao
View attachment 1799523
JOBO awalipie ndugu zake nauli ya treni kurudi makao makuu, please MAKALA usiwalipie, Hao ni ndugu zake JOBO, na MAVUNDE.
 
hivi bado wengi wao wanatokea mkoa uleule wa dodoma kama ilivyo zoeleka?.
 
Leo hii mnawageuka wanyonge 😂😂😂😂 kweli magufuli alikuwa kazungukwa na wachawi.

Wewe naweee.......... umetumia kipimo gani kuwapima na kuwaita wanyonge hao ombaomba waliokimbia majukumu ya kujenga uchumi makwao na kujazana mijini?

Ni rahisi sana kuzijua akili zako zilivyofeli kwa kumlinganisha asiyetaka kazi zaidi ya kuombaomba na yule anayepambana kufanya kazi apate chochote kitu

Unatia huruma sana yaani
 
OMBAOMBA wanaletwa DAr na wafanyi biashsra na jioni wanakusanya fedha zote na kukabidhi.
Wapo wanao miliki bajaji za mnazi mmmoja ferry, wengine wana IST za uber na nyumba huko mbagala. wanapata fedha nyingi ila hawapendikuwekeza kwao Dodoma.
 
Wewe naweee.......... umetumia kipimo gani kuwapima na kuwaita wanyonge hao ombaomba waliokimbia majukumu ya kujenga uchumi makwao na kujazana mijini?

Ni rahisi sana kuzijua akili zako zilivyofeli kwa kumlinganisha asiyetaka kazi zaidi ya kuombaomba na yule anayepambana kufanya kazi apate chochote kitu

Unatia huruma sana yaani
😂😂😂 haya ulipaswa kuyaongea wakati marehemu hajaondoka mama D
 
Zipo njia nyingi za kuwatoa na hawawezi kurudi tena mjini, ila zitakuwa za kudhalilisha utu. Waana harakati wa haki za binadamu watapata kazi ya kufanya.
Huo ni uongozi wa Jiwe ambao kwa sasa mama Samia hataki kabisa kuusikia.
 
hivi bado wengi wao wanatokea mkoa uleule wa dodoma kama ilivyo zoeleka?.
Siku hizi wamejaa wa mikoa karibu yote.....

Zama za KIDIJITALI zimebadilisha baadhi yao walio na asili ya kufanya kazi kwa NGUVU....
 
Back
Top Bottom