RC wa Dar es Salaam kutoa usafiri kwa Ombaomba wanaotaka kurudi makwao mwezi wa 6

Nchi nyingi za AFRIKA zimegubikwa na machafuko kwa sababu ya AINA YA WANASIASA HAO....

Kwao wamekariri kuwa DEMOKRASIA ni zaidi ya PUMZI....

Ujinga mtupu.....
 
Jamaa watu wa ajabu Sana hao ....

Baadhi ya nchi za AFRIKA zimegubikwa na machafuko na chanzo huwa ni WANASIASA......
Ukiona sehemu kuna machafuko ujue haki za watu zimechezewa, hakuna nchi yenye haki ukakuta ina vurugu hta siku moja.
 
Huko Makwao waende kuomba au wanapewa shamba walime ?
 
Tatizo kuu na msingi kwa sasa jijini dar es laam ni suala la wamachinga huko kwingine ni kutafuta kiki tu!
 
Hawa ombaomba ni matajiri sana maana wanauhakika kulaza 50 elf mpaka elf 80.....kwa kipato wanawazidi hadi watumishi wa umma....ila ni ngumu sana kuwaondoa mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…