enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,089
- 3,634
Mayala =Njaa. Na bahati mbaya njaa inaanzia tumbonj then inapanda kichwani hapo ndo kasheshe inapoanzia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya physical survey utapata picha kamili,hali ya kampeni za uchaguzi zikoje.Bashiru ndiyo ana hasira hadi anawatisha wapiga kura, nadhani hali ni tete huko CCM
Wakina Karamagi ni watu wabaya sana.Hivi yule mke wake Kissa waliomporaga kwa uzembe wake, yuko wapi siku hizi?
Tumeambiwa tarehe 28 tusifanye makosa kwahiyo tusubirie sio mbali chamuhimu tuombe uzima tu....Mwaka 2015 tuliambiwa Tanzania itageuka nchi ya asali na maziwa.
Sasa tunaambiwa miaka 5 tena tutafikia guduria la maziwa na asali.
Hakuna anayeeleza tumekwama vipi miaka 5 iliyopita.
Ukisikia hawa wanaopiga debe, hiyo miaka 5 ni yao ya asali na maziwa
Hivi tunageuzaje nchi kuwa ya asali na maziwa kwa miaka 5 ikiwa miaka 60 ya utawala wa CCM haikuweza?
Ni nani katika hawa watengeneza asali na maziwa hakuwepo katika 'kiwanda' miaka 5, 10 au 20 iliyopita?
Miaka 5, 10, 20 hawa hawa walikuwa wameinamia guduria wakifyonza asali na maziwa kimya kimya.
Leo wanaona guduria linatikiswa eti wanatuambia miaka 5 ijayo watalisogeza guduria karibu na sisi.!!!
Mimi najiuliza kila siku, CCM hii ilikuwepo miaka 60, ina maana hawana cha kuonyesha bali kutuahidi maziwa na asali, ambayo basically ni kwa familia zao? Mongella, maziwa na asali ni u-RC wako usidanganye watu.
Hawa waliokuwa wanakampeni wenyewe kwa miaka 5, wanatumia kodi zetu bila kuhojiwa eti hawana cha kutuonyesha wanatuahidi miaka 5 ya asali na maziwa. Kuna siasa lakini zingine ni majitaka!
Mtihani Mzito Sna Huu Kaka Yngu Sawa Ametumia HAKI Yke Kikatiba Ila Swali Langu Bado Lipo Pale Pale Tatizo Ni Nini Kaka Yngu Ni NJAA KWELI UKABILA AU NI NINI...?Emb potelea mbali huko mpuuzi wewe! Nilikuwa nakuona una akili kumbe ukabila umekujaa. Jinga zima wewe!
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongela, amevunja mwiko wa ukimya kwa viongozi wa serikali kutompigia kampeni zozote za kisiasa kwa mgombea yoyote, kwa kuvunja ukimya, kumhusu JPM, asema bila Dr. John Pombe Joseph Magufuli, Tanzania, Tusingefika hapa tulipo!, huo ndio ukweli wa mambo. "Sisi ni Watanzania, lazima tuwe wazalendo, kwenye mambo ya msingi, hatuwezi kuwa na aibu kusema, tunasemea nchi yetu, tunasemea mustakabali wa kizazi chetu na vizazi vingine vijavyo, wazee waliotangulia walitimiza wajibu wao, na sasa tumepata kiongozi mzalendo mahiri, ambaye amejitoa sadaka kwa ajili ya nchi yetu, tuendelee kumuombea, lakini tarehe 28 October, mimi nikiwa kama kiongozi, niwaombeni tutoke, tukapige kura, ili Mhe Dr. John Pombe Joseph Magufuli, kama miaka mitano ilikuwa hivi, tukimpa tena miaka mitano mingine, itakuwaje?, na walioona kitabu cha ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi, na mimi kwa nafasi yangu ndio mratibu na msimamizi mkuu wa utekelezaji wa ilani kwenye mikoa, tunakokwenda ni nchi ya maziwa na asali, tumuombee rais wetu, tumuunge mkono, tukapige kura, ili twende kwenye mafanikio makubwa ya kiuchumi na kijamii!.
Akiunga mkono hoja, mwandishi wa makala hii, alisisitiza, umuhimu wa waandishi wa habari na vyombo vya habari, kutoshabikia vyama wala wagombea, ila amesisitiza, kama tunataka maendeleo ya kweli, then, tunajua ni chama gani kinaweza kutuletea maendeleo ya kweli na sio ahadi, na ni mgombea gani anaweza kutuletea maendeleo ya kweli, hivyo tarehe 28, Watanzania, Tusifanye Makosa!.
Paskali
Nimefanya tayari. CCM hali ni tete hadi imefika hatua Dr.Bashiru anawatisha wapiga mkwara wanaCCMFanya physical survey utapata picha kamili,hali ya kampeni za uchaguzi zikoje.
Hivi wasukuma huwa wanapitia Jando?Emb potelea mbali huko mpuuzi wewe! Nilikuwa nakuona una akili kumbe ukabila umekujaa. Jinga zima wewe!
Tetemeko halikuletwa na serikali yangu.Nimefanya tayari. CCM hali ni tete hadi imefika hatua Dr.Bashiru anawatisha wapiga mkwara wanaCCM
Nadhani ana hisi kuupoteza ukuu wa mkoaHivi wasukuma huwa wanapitia Jando?
Ama ni watu wazima,kwa màana ya kutopitia tohara?
Mwandishi,nahisi hata wewe ni mtu mzima ndiyo sababu unatumia nguvu nyingi kumpigia debe jiwe.
Najua lolote linaweza tokea,....hivi matokeo yakiwa kinyume na matarajio yako huoni wewe na huyu mjinga asiyejua wajibu wake wote mnaingia mkumbo mmoja?
Ukabila kweli ni tatizo na ni m baya sana.
Tumuombe Mungu atuokoe na hili janga.
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongela, amevunja mwiko wa ukimya kwa viongozi wa serikali kutompigia kampeni zozote za kisiasa kwa mgombea yoyote, kwa kuvunja ukimya, kumhusu JPM, asema bila Dr. John Pombe Joseph Magufuli, Tanzania, Tusingefika hapa tulipo!, huo ndio ukweli wa mambo. "Sisi ni Watanzania, lazima tuwe wazalendo, kwenye mambo ya msingi, hatuwezi kuwa na aibu kusema, tunasemea nchi yetu, tunasemea mustakabali wa kizazi chetu na vizazi vingine vijavyo, wazee waliotangulia walitimiza wajibu wao, na sasa tumepata kiongozi mzalendo mahiri, ambaye amejitoa sadaka kwa ajili ya nchi yetu, tuendelee kumuombea, lakini tarehe 28 October, mimi nikiwa kama kiongozi, niwaombeni tutoke, tukapige kura, ili Mhe Dr. John Pombe Joseph Magufuli, kama miaka mitano ilikuwa hivi, tukimpa tena miaka mitano mingine, itakuwaje?, na walioona kitabu cha ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi, na mimi kwa nafasi yangu ndio mratibu na msimamizi mkuu wa utekelezaji wa ilani kwenye mikoa, tunakokwenda ni nchi ya maziwa na asali, tumuombee rais wetu, tumuunge mkono, tukapige kura, ili twende kwenye mafanikio makubwa ya kiuchumi na kijamii!.
Akiunga mkono hoja, mwandishi wa makala hii, alisisitiza, umuhimu wa waandishi wa habari na vyombo vya habari, kutoshabikia vyama wala wagombea, ila amesisitiza, kama tunataka maendeleo ya kweli, then, tunajua ni chama gani kinaweza kutuletea maendeleo ya kweli na sio ahadi, na ni mgombea gani anaweza kutuletea maendeleo ya kweli, hivyo tarehe 28, Watanzania, Tusifanye Makosa!.
Paskali
Na wewe kaka Pascal nguli wa sheria unashabikia hili?