Uchaguzi 2020 RC wa Mwanza, John Mongela avunja Mwiko wa Kampeni Kwa Kuongea Ukweli Bayana!, "Tukimpa Mitano Tena, JPM Kuigeuza Tanzania Nchi ya Maziwa na Asali"

Mwaka 2015 tuliambiwa Tanzania itageuka nchi ya asali na maziwa.
Sasa tunaambiwa miaka 5 tena tutafikia guduria la maziwa na asali.
Hakuna anayeeleza tumekwama vipi miaka 5 iliyopita.

Ukisikia hawa wanaopiga debe, hiyo miaka 5 ni yao ya asali na maziwa

Hivi tunageuzaje nchi kuwa ya asali na maziwa kwa miaka 5 ikiwa miaka 60 ya utawala wa CCM haikuweza?

Ni nani katika hawa watengeneza asali na maziwa hakuwepo katika 'kiwanda' miaka 5, 10 au 20 iliyopita?

Miaka 5, 10, 20 hawa hawa walikuwa wameinamia guduria wakifyonza asali na maziwa kimya kimya.
Leo wanaona guduria linatikiswa eti wanatuambia miaka 5 ijayo watalisogeza guduria karibu na sisi.!!!

Mimi najiuliza kila siku, CCM hii ilikuwepo miaka 60, ina maana hawana cha kuonyesha bali kutuahidi maziwa na asali, ambayo basically ni kwa familia zao? Mongella, maziwa na asali ni u-RC wako usidanganye watu.

Hawa waliokuwa wanakampeni wenyewe kwa miaka 5, wanatumia kodi zetu bila kuhojiwa eti hawana cha kutuonyesha wanatuahidi miaka 5 ya asali na maziwa. Kuna siasa lakini zingine ni majitaka!
 
Tumeambiwa tarehe 28 tusifanye makosa kwahiyo tusubirie sio mbali chamuhimu tuombe uzima tu....

Sent from my SM-G920V using JamiiForums mobile app
 
Emb potelea mbali huko mpuuzi wewe! Nilikuwa nakuona una akili kumbe ukabila umekujaa. Jinga zima wewe!
Mtihani Mzito Sna Huu Kaka Yngu Sawa Ametumia HAKI Yke Kikatiba Ila Swali Langu Bado Lipo Pale Pale Tatizo Ni Nini Kaka Yngu Ni NJAA KWELI UKABILA AU NI NINI...?

Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongela, amevunja mwiko wa ukimya kwa viongozi wa serikali kutompigia kampeni zozote za kisiasa kwa mgombea yoyote, kwa kuvunja ukimya, kumhusu JPM, asema bila Dr. John Pombe Joseph Magufuli, Tanzania, Tusingefika hapa tulipo!, huo ndio ukweli wa mambo. "Sisi ni Watanzania, lazima tuwe wazalendo, kwenye mambo ya msingi, hatuwezi kuwa na aibu kusema, tunasemea nchi yetu, tunasemea mustakabali wa kizazi chetu na vizazi vingine vijavyo, wazee waliotangulia walitimiza wajibu wao, na sasa tumepata kiongozi mzalendo mahiri, ambaye amejitoa sadaka kwa ajili ya nchi yetu, tuendelee kumuombea, lakini tarehe 28 October, mimi nikiwa kama kiongozi, niwaombeni tutoke, tukapige kura, ili Mhe Dr. John Pombe Joseph Magufuli, kama miaka mitano ilikuwa hivi, tukimpa tena miaka mitano mingine, itakuwaje?, na walioona kitabu cha ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi, na mimi kwa nafasi yangu ndio mratibu na msimamizi mkuu wa utekelezaji wa ilani kwenye mikoa, tunakokwenda ni nchi ya maziwa na asali, tumuombee rais wetu, tumuunge mkono, tukapige kura, ili twende kwenye mafanikio makubwa ya kiuchumi na kijamii!.

Akiunga mkono hoja, mwandishi wa makala hii, alisisitiza, umuhimu wa waandishi wa habari na vyombo vya habari, kutoshabikia vyama wala wagombea, ila amesisitiza, kama tunataka maendeleo ya kweli, then, tunajua ni chama gani kinaweza kutuletea maendeleo ya kweli na sio ahadi, na ni mgombea gani anaweza kutuletea maendeleo ya kweli, hivyo tarehe 28, Watanzania, Tusifanye Makosa!.

Paskali

Mvumilivu hula mbivu! Magufuli akipora ushindi huenda akakufikiria uwe angalau afisa tarafa.
 
Emb potelea mbali huko mpuuzi wewe! Nilikuwa nakuona una akili kumbe ukabila umekujaa. Jinga zima wewe!
Hivi wasukuma huwa wanapitia Jando?

Ama ni watu wazima,kwa màana ya kutopitia tohara?

Mwandishi,nahisi hata wewe ni mtu mzima ndiyo sababu unatumia nguvu nyingi kumpigia debe jiwe.

Najua lolote linaweza tokea,....hivi matokeo yakiwa kinyume na matarajio yako huoni wewe na huyu mjinga asiyejua wajibu wake wote mnaingia mkumbo mmoja?

Ukabila kweli ni tatizo na ni m baya sana.

Tumuombe Mungu atuokoe na hili janga.
 
Nadhani ana hisi kuupoteza ukuu wa mkoa
 
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongela, amevunja mwiko wa ukimya kwa viongozi wa serikali kutompigia kampeni zozote za kisiasa kwa mgombea yoyote, kwa kuvunja ukimya, kumhusu JPM, asema bila Dr. John Pombe Joseph Magufuli, Tanzania, Tusingefika hapa tulipo!, huo ndio ukweli wa mambo. "Sisi ni Watanzania, lazima tuwe wazalendo, kwenye mambo ya msingi, hatuwezi kuwa na aibu kusema, tunasemea nchi yetu, tunasemea mustakabali wa kizazi chetu na vizazi vingine vijavyo, wazee waliotangulia walitimiza wajibu wao, na sasa tumepata kiongozi mzalendo mahiri, ambaye amejitoa sadaka kwa ajili ya nchi yetu, tuendelee kumuombea, lakini tarehe 28 October, mimi nikiwa kama kiongozi, niwaombeni tutoke, tukapige kura, ili Mhe Dr. John Pombe Joseph Magufuli, kama miaka mitano ilikuwa hivi, tukimpa tena miaka mitano mingine, itakuwaje?, na walioona kitabu cha ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi, na mimi kwa nafasi yangu ndio mratibu na msimamizi mkuu wa utekelezaji wa ilani kwenye mikoa, tunakokwenda ni nchi ya maziwa na asali, tumuombee rais wetu, tumuunge mkono, tukapige kura, ili twende kwenye mafanikio makubwa ya kiuchumi na kijamii!.

Akiunga mkono hoja, mwandishi wa makala hii, alisisitiza, umuhimu wa waandishi wa habari na vyombo vya habari, kutoshabikia vyama wala wagombea, ila amesisitiza, kama tunataka maendeleo ya kweli, then, tunajua ni chama gani kinaweza kutuletea maendeleo ya kweli na sio ahadi, na ni mgombea gani anaweza kutuletea maendeleo ya kweli, hivyo tarehe 28, Watanzania, Tusifanye Makosa!.

Paskali

Je, Paskali utawala wa sheria hauna maana tena? Unaposhabikia mvunja sheria kwavile kamsifia JPM , utakuwa tayari na mwingine akimbaka mkeo na mwengine akivamia ofisi fulani kwavile ameona hajatendewa haki? Nilifikiri kama Rais ameshindwa kusimamia sheria na katiba aliyoapa kuilinda kwasababu ya ubinadamu basi wewe ungemsaidia mwenyekiti wako kwa kukemea hilo, ili asijitokeze mkuu wa majeshi na kusema, kwa mfano, mchagueni Lissu kwavile ni jasiri; au membe ndiye mgombea bora kwa haiba na uzoefu wake. Hioni hiyo ikitokea italeta tafrani na JPM hataweza kuivumilia kuona hasimu wake kisiasa akisifiwa, hata kama mtoa kauli amesema kwa mawaxo na mtazamo wake? Wewe Paskali na wenzako ndiyo mnaohatarisha amani ya nchi kwa kushabikia uvunjaji sheria badala ya kuukemea, kwavile tu unatendwa na wana ccm wenzenu. Shame on you.
 
Maccm wapeni semina wagombea wenu wanayoyaongea huku chini ni mambo ya aibu mnoo..
Unakuta Diwani naye anazungumzia mambo ya kununua ndege, sasa Diwani na ndege wapi na wapi.
Labda kama ni diwani wa Kipawa
 
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongela, amevunja mwiko wa ukimya kwa viongozi wa serikali kutompigia kampeni zozote za kisiasa kwa mgombea yoyote, kwa kuvunja ukimya, kumhusu JPM, asema bila Dr. John Pombe Joseph Magufuli, Tanzania, Tusingefika hapa tulipo!, huo ndio ukweli wa mambo. "Sisi ni Watanzania, lazima tuwe wazalendo, kwenye mambo ya msingi, hatuwezi kuwa na aibu kusema, tunasemea nchi yetu, tunasemea mustakabali wa kizazi chetu na vizazi vingine vijavyo, wazee waliotangulia walitimiza wajibu wao, na sasa tumepata kiongozi mzalendo mahiri, ambaye amejitoa sadaka kwa ajili ya nchi yetu, tuendelee kumuombea, lakini tarehe 28 October, mimi nikiwa kama kiongozi, niwaombeni tutoke, tukapige kura, ili Mhe Dr. John Pombe Joseph Magufuli, kama miaka mitano ilikuwa hivi, tukimpa tena miaka mitano mingine, itakuwaje?, na walioona kitabu cha ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi, na mimi kwa nafasi yangu ndio mratibu na msimamizi mkuu wa utekelezaji wa ilani kwenye mikoa, tunakokwenda ni nchi ya maziwa na asali, tumuombee rais wetu, tumuunge mkono, tukapige kura, ili twende kwenye mafanikio makubwa ya kiuchumi na kijamii!.

Akiunga mkono hoja, mwandishi wa makala hii, alisisitiza, umuhimu wa waandishi wa habari na vyombo vya habari, kutoshabikia vyama wala wagombea, ila amesisitiza, kama tunataka maendeleo ya kweli, then, tunajua ni chama gani kinaweza kutuletea maendeleo ya kweli na sio ahadi, na ni mgombea gani anaweza kutuletea maendeleo ya kweli, hivyo tarehe 28, Watanzania, Tusifanye Makosa!.

Paskali
Na wewe kaka Pascal nguli wa sheria unashabikia hili?
 
Rafiki yako Lwakatare yupo wapi
 
John Mongela anapalilia uteuzi ujao wa 2020 na Paskali Mayalla anataka naye awepo kwenye utikufu wa Magu wa 2020. Ila nawathibitishia Magufuli mwisho wake ni October 28.

Akilazimisha kwa kupindua matokeo tutamtoa Ikulu kama panya buku au kwa ile design aliyotolewa Laurent Bagbo wa Cote D'Ivoire
 
Back
Top Bottom