Haahahaaa..! Isco ni mchezaji mzuri, But kwa upande wangu anachonikera ni kuchelewesha moves kwa kupaka rangi sana mpira, na sometimes kuupaka rangi huko mpira kunamfanya sometimes awe dispossesed kitu ambacho sometimes huwa kinaicost timu kwani unakuta timu yote ipo mbele inashambulia, Ghafla yeye anapokonywa mpira, Guess what..! Disaster. James anacheza mpira wa ushindi anafanya kitu sahihi kwa wakati sahihi.
Hizi ni siasa Carlo analeta ili ku-justify kumpiga Chalii benchi, Isco hiyo ndio style yake siku zote, anakaa na mpira sometimes a little too much ila ana-deliver mara nyingi. James mwenyewe huwa anapoteza mipira mara kadhaa, sometimes anafanya maamuzi ya haraka mno. Isco ame-sacrifice game yake kwa ajili ya timu, he nowadays tracks back a lot, anachezeshwa nafasi si yake, ila bado anajituma.Haahahaaa..! Isco ni mchezaji mzuri, But kwa upande wangu anachonikera ni kuchelewesha moves kwa kupaka rangi sana mpira, na sometimes kuupaka rangi huko mpira kunamfanya sometimes awe dispossesed kitu ambacho sometimes huwa kinaicost timu kwani unakuta timu yote ipo mbele inashambulia, Ghafla yeye anapokonywa mpira, Guess what..! Disaster. James anacheza mpira wa ushindi anafanya kitu sahihi kwa wakati sahihi.
Kabla ya mechi iliyopita na Atleti nilijaribu kuelezea tofauti ya James na Isco, Wote wanaweza kupunguza wakatengeneza nafasi, vile vile wanaweza kufunga mabao hata kama wapo impossible angle. Lakini James anaamua mara moja, Isco yeye anakaa sana na mpira, inaweza kusaidia kupata foul kama ni karibu na goli, lakini mara nyingi hii huwa inachelewesha moves.
rekebisha maneno yako mkuu ulijuaje kua mii dogo na sio kubishana nemekujibu kutokana na maneno yako uliosema
Hongereni kwa ushindi wa Leo
Hongereni kwa ushindi wa Leo
Na kukaa sana na mpira ndiyo kunamuweka benchi.