Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

11109182_10150823294529953_3265211441676187521_n.jpg
 
Haahahaaa..! Isco ni mchezaji mzuri, But kwa upande wangu anachonikera ni kuchelewesha moves kwa kupaka rangi sana mpira, na sometimes kuupaka rangi huko mpira kunamfanya sometimes awe dispossesed kitu ambacho sometimes huwa kinaicost timu kwani unakuta timu yote ipo mbele inashambulia, Ghafla yeye anapokonywa mpira, Guess what..! Disaster. James anacheza mpira wa ushindi anafanya kitu sahihi kwa wakati sahihi.

Kabla ya mechi iliyopita na Atleti nilijaribu kuelezea tofauti ya James na Isco, Wote wanaweza kupunguza wakatengeneza nafasi, vile vile wanaweza kufunga mabao hata kama wapo impossible angle. Lakini James anaamua mara moja, Isco yeye anakaa sana na mpira, inaweza kusaidia kupata foul kama ni karibu na goli, lakini mara nyingi hii huwa inachelewesha moves.
 
Hizi ni siasa Carlo analeta ili ku-justify kumpiga Chalii benchi, Isco hiyo ndio style yake siku zote, anakaa na mpira sometimes a little too much ila ana-deliver mara nyingi. James mwenyewe huwa anapoteza mipira mara kadhaa, sometimes anafanya maamuzi ya haraka mno. Isco ame-sacrifice game yake kwa ajili ya timu, he nowadays tracks back a lot, anachezeshwa nafasi si yake, ila bado anajituma.

Hakuna watu wanapoteza mipira mingi kama Cristiano na Gareth TerriBale, so terrible. Ila hawasemwi, reason why, price-tags.
 
Kabla ya mechi iliyopita na Atleti nilijaribu kuelezea tofauti ya James na Isco, Wote wanaweza kupunguza wakatengeneza nafasi, vile vile wanaweza kufunga mabao hata kama wapo impossible angle. Lakini James anaamua mara moja, Isco yeye anakaa sana na mpira, inaweza kusaidia kupata foul kama ni karibu na goli, lakini mara nyingi hii huwa inachelewesha moves.

Na kukaa sana na mpira ndiyo kunamuweka benchi.
 
rekebisha maneno yako mkuu ulijuaje kua mii dogo na sio kubishana nemekujibu kutokana na maneno yako uliosema

We dogo tu, ndio maana unataka kuleta utoto, ukitaka mambo ya Ronaldo na Messi nani zaidi achana na mimi, nenda kuna thread kibao zimeanzishwa, kule utakutana nao wengi wa kubishana nao.
 
Hongereni kwa ushindi wa Leo

Asante sana, hizi mbio ni mpaka mwisho wa reli. Luis Enrique leo kaongea mmepata points 3 muhimu kwasababu mnaongoza ligi lakini hapo nyuma kunawatu wanapumua. Ukipoteza points 2 manaake umepoteza ubingwa.
 
No Modrić for another month. Now Isco back in starting XI.On bench we'll have Khedira, Lucas and Illara.If Another injury occurs in Midfield, Our season will be half done.We have games against Valencia, Sevilla and Atlético in coming weeks. + If we get through to the semi finals of UCL it'll be really hard.
 
Who Scored.Com | Cristiano MotM vs Malaga, Rating 8.86, Shots(OT) 7(2), Goals 1, Key passes 3, Assists 2

11150148_988028187888608_8426614483591996037_n.jpg

Back
Top Bottom