Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Mbaya zaidi kakutana na miwa akiwa kashachoka na yeye
 
Na ni sehemu muhimu na ambayo imekuwa ni utamaduni wa Real Madrid kusheherekea ubingwa sehemu hiyo.
 
Ninadhani uwezekano wa Tchouameni kucheza fainali haupo, so hapa Ancelloti amemchezesha Valverde kama kiungo mkabaji, ninadhani ataenda kupewa majukumu hayo kwenye game ya finali
 
HIi game ya leo dhidi ya Nyambizi hapa inayoendelea kwa kwel Lunin aanzie bench siku ya Fainal...
 
Ugonjwa ule ule wa mchezaji mmoja kututesa katika game moja ndio unaofanyika hapa...jamaa katupiga nne hapa peke yake hadi sa hvi,Miltao kateseka sana leo hapa..
 
Ugonjwa ule ule wa mchezaji mmoja kututesa katika game moja ndio unaofanyika hapa...jamaa katupiga nne hapa peke yake hadi sa hvi,Miltao kateseka sana leo hapa..
Militão ameshindwa kum-mark jamaa, muda wote amempoteza, sasa hapo sijui unaanza vipi kumlaumu Lunin, muda wote jamaa anakuwa peke yake anachagua angle ya kupeleka mpira.
Ninadhani Lunin anaona kama Militão na Rudiger wanamhujumu, hawawezi kuwa flop hivyo etii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…