Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Vijana wemetuheshimisha tena., Pongezi nyingi kwa Carlo Ancelloti na bench lake la ufundi pamoja na team kwa ujumla., bila kusahau Management ya club ikiongozwa na Prezzo Florentino Perez na mwisho kabisa to you Madridistas mlio-onyesha moyo wa Imani kwa vijana wetu.
HalaMadrid
 
Ukicheza na Madrid hakikisha kila nafasi unayopata funga , na ongeza umakini kuanzia DK ya 70 mpak mwisho 😁😁😁🔥🔥
Na sie tulikuwa tunawavizia kuanzia dakika ya 70, acha watu walalamike kuwa Real Madrid haijulikani inashindaje., yaani Carvajal ni wa kufunga kwa kichwa tena mpira wa kona kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…