Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Namba 8 ya kroos ambapo muda mwingi pia hucheza namba 6 sijui nani ataivaa iyo namba. Namwona camavoo akipewa iyo mikoba lakini camavoo ana mambo mengi ya kukaa na mpira sana kama YAHYA TOURE vile.
 
Wale jamaa walikuwa wanakuja kasi muda wote jambo jema vijana wetu walikua kwenye utulivu mkubwa bila hivyo tungekuwa tunaongea mengine muda huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…