Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
Halla Madrid
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliluwepo Mkuu, si unajua alikuwa golikipa wetu game za mwanzoni wa MsimuKepa kabeba kombe anashangilia utadhani na yeye alikuwepo 🤣
Hapana. Nataka mwakani tuchukue UEFA nyingine tuwape BARCA maana wameteseka mnooooFanyeni mchakato muwape hata 1 Arsenal
Barcelona leo walitegemea Madrid anafungwaHapana. Nataka mwakani tuchukue UEFA nyingine tuwape BARCA maana wameteseka mnoooo
Kwa msisitizo umeandika kwa lugha ya malkia 😂, kwani unaumia ukiwa wapi mkuu?I really hate real Madrid from the deepest, innermost,profoundly hidden, and furthest-reaching bottom part of my heart."
Wale jamaa walikuwa wanakuja kasi muda wote jambo jema vijana wetu walikua kwenye utulivu mkubwa bila hivyo tungekuwa tunaongea mengine muda huu.Vijana wemetuheshimisha tena., Pongezi nyingi kwa Carlo Ancelloti na bench lake la ufundi pamoja na team kwa ujumla., bila kusahau Management ya club ikiongozwa na Prezzo Florentino Perez na mwisho kabisa to you Madridistas mlio-onyesha moyo wa Imani kwa vijana wetu.
HalaMadrid
Ana 6 recorder holder na modric,Kross na cavajal.2014,2016,2017,2018,2021,2024Kuna watu wana kisimati sana yaani Nacho ana UCL tano na mpira hajui 😂😂
Welcome to the Real Madrid C.F. Jamii Forums thread. Keep up to date with the latest news & engage with the club and other supporters.
View: https://youtu.be/v-oQ3DRPs_Y![]()
![]()
The club formed in 1902.
Stadium: Santiago Bernabéu, Chamartin, Madrid.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Club official website: Real Madrid CF | Official Website