Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,352
- 2,160
Chunguza hao Average player walisajiliwa wakiwa top player walikotoka.Na ninachomaanisha mimi wengi ni average players, Mendy starter wa real Madrid hata kuitwa France ni kwa shida, camavinga ni bench player france, Militao sifikirii kama hata mwaka unafika toka aanze kuwa starter Brazil.
Wengi umashahuri wao unachangiwa na umashuhuri wa timu
Ila leo hata ukiwarudisha walikotoka baadhi yao namba hawati.
Inamaana hawakupata mwendelezo mzuri yaani hawajaongeza kitu tangu waje.
Hapa ndio lawama zangu nazipeleka kwa babu.
Kwani Wachezaji bora wa sasa wa kuibeba Madrid ni wale aliowatengeza zaidi ya misimu miwili nyuma huko.
Yaani tangu amtoe Vin, Ververde, Rodrigo hakuna tena player mchanga aliemleta ulingoni pamoja na Perez kuwaleta kina Guller, Diaz na Paz hata Endrick mwisho wake utatakua mbovu kama huyu mzee ataendelea kuwepo.