Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,352
- 2,160
#HalaMadridKikosi chetu hiki hapa... Nadhani approach ya mzee first half ni kuingia na 4:4:2.
Vin atasimama juu kushoto nyuma yake Bellingham , Camavinga na mendy....
huku Mbappe nae akisimama juu kulia pembeni yake Rodrigyo ambae atakua anashuka chini kidogo na kutanua uwanja ili kupokea mipira toka katikati kwa ceballos na pembeni kwa vervede
dimba la kati Ceballos chini yake camavinga
Hii mechi first half inaweza kua kavu sana ila second half hukumu itatoka.
Kila la kheri Madrid
Yaani alikua hana energy kabisa hasa kwenye pressing, ATLETCO dakika za jioni walitukosa kosa kwa sababu yakekwa kweli camavinga mechi yajuzi hakuonekanwa kuwa amechangamka kabisa,iila tumtizame leo
Sisi weakness yetu bekiVamoooosReal
Hapa tunamtegemea sana Ceballos kuamua tuchezeje, akizingua ujue imekula kwetu.,Sisi weakness yetu beki
wao weakness yao Eneo la kati,
kiungo mkabaji anasimama stone na bernado silva... ni wazi game hii wanataka kuishika kwa kumiliki mpira zaidi.
Dawa yao ni ile ile Gusa achia twende kwao.
Halla Madrid
Na pep nadhani haesabu zake zipo hapo kwa ceballos.Hapa tunamtegemea sana Ceballos kuamua tuchezeje, akizingua ujue imekula kwetu.,
Tupeni tathimini Wakuu., game ipo vp, kuna matumaini ama ndio imetoka hiyo., hapa labda nitawahi kipindi cha pili.
I second you man, hii game city anacheza kiujanja ujanja sana anajua hayuko sawa.Hatujawahi kufungwa na Manchester City mbovu kama hii
Hii game inanikumbusha el clasico ile ya ligi tuliyopigwa 5.Tupeni tathimini Wakuu., game ipo vp, kuna matumaini ama ndio imetoka hiyo., hapa labda nitawahi kipindi cha pili.
Camavinga kaamka saiv, naona hata ceballos kapata uhuru flan wa kucheza1-1. Tukikaza hii game tunashinda, our attacking trio showed up tonight.