Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Kikosi chetu hiki hapa... Nadhani approach ya mzee first half ni kuingia na 4:4:2.

Vin atasimama juu kushoto nyuma yake Bellingham , Camavinga na mendy....

huku Mbappe nae akisimama juu kulia pembeni yake Rodrigyo ambae atakua anashuka chini kidogo na kutanua uwanja ili kupokea mipira toka katikati kwa ceballos na pembeni kwa vervede

dimba la kati Ceballos chini yake camavinga

Hii mechi first half inaweza kua kavu sana ila second half hukumu itatoka.

Kila la kheri Madrid
 
Attachments

  • FB_IMG_1739296223567.jpg
    FB_IMG_1739296223567.jpg
    87.7 KB · Views: 2
Kikosi chetu hiki hapa... Nadhani approach ya mzee first half ni kuingia na 4:4:2.

Vin atasimama juu kushoto nyuma yake Bellingham , Camavinga na mendy....

huku Mbappe nae akisimama juu kulia pembeni yake Rodrigyo ambae atakua anashuka chini kidogo na kutanua uwanja ili kupokea mipira toka katikati kwa ceballos na pembeni kwa vervede

dimba la kati Ceballos chini yake camavinga

Hii mechi first half inaweza kua kavu sana ila second half hukumu itatoka.

Kila la kheri Madrid
#HalaMadrid
 
Sisi weakness yetu beki
wao weakness yao Eneo la kati,

kiungo mkabaji anasimama stone na bernado silva... ni wazi game hii wanataka kuishika kwa kumiliki mpira zaidi.

Dawa yao ni ile ile Gusa achia twende kwao.

Halla Madrid
Hapa tunamtegemea sana Ceballos kuamua tuchezeje, akizingua ujue imekula kwetu.,
 
Tupeni tathimini Wakuu., game ipo vp, kuna matumaini ama ndio imetoka hiyo., hapa labda nitawahi kipindi cha pili.
Hii game inanikumbusha el clasico ile ya ligi tuliyopigwa 5.

First half Mzee aliingia hivi hivi na 4:4:2 kama nilivyotabiri mwanzo.

Na tulishambulia sana tukakosa nafasi sana.

Second half kabla haja switch kwenye 4:3:3 yake barca wakawa wametuwahi chuma za maana.

Sasa na leo akichelewa kubadili mfumo au wachezaji, biashara inaisha tukiwa na hasara.

Hakuna anaechezesha timu, Ceballos yupo bize na de bryne Bellingham yupo hoi, Camavinga alikua haeleweki anacheza ninj kaonekana dakika chache tu mwishoni.

Tunahitaji mabadiliko ya mapema Walau Mchezaji mmoja mwenye mbio mbio kama diaz aingie kupush timu.
 
Back
Top Bottom