Millennium bahati
Member
- Jun 9, 2017
- 98
- 148
Hiki kiungo chetu Cha Brahim, Tchouameni na Cama kinatia mashaka sana.Kuna mabadiliko kidogo kwenye game ya leo, kati kati ya Uwanja atasimama Tchouameni na wenzie Camavinga na Brahim, game iliyopita Brahim alipotea sana, sijui leo itakuwaje.
Daah hii game labda tutegemee counta.Kuna mabadiliko kidogo kwenye game ya leo, kati kati ya Uwanja atasimama Tchouameni na wenzie Camavinga na Brahim, game iliyopita Brahim alipotea sana, sijui leo itakuwaje.
Inabidi tuwaachie mpira Tiko tiko then tupige caunta tu.Hiki kiungo chetu Cha Brahim, Tchouameni na Cama kinatia mashaka sana.
Rodrygo ni mzuri kucheza hapo zaidi ya Brahim, acha tuone kama watakuwa wanapokezana, ila kwa aina ya team kama Atletico, tunahitaji watu wenye akili nyingi sana hapo kati.Daah hii game labda tutegemee counta.
Maana hatuwezi kumiliki mpira kupitia camavinga na braihim ni mzuri akicheza pembeni sio kwenye playmaking
Kama ndo umebet hivyo ndugu ushaliwa.game inaisha sare hii
Angemjarubu Guller labdaRodrygo ni mzuri kucheza hapo zaidi ya Brahim, acha tuone kama watakuwa wanapokezana, ila kwa aina ya team kama Atletico, tunahitaji watu wenye akili nyingi sana hapo kati.
Modric hawezi tena mikiki mikiki, so option aliyobaki nayo Mwl ni hiyo tu.
Angemjarubu Guller labda
Mbappe kafichwa sana leo, kwa hii defense ya atleticoKuna matumaini kweli ya kupata goli tena
Kwahiyo ngoma nzito hakuna dalili ya kupata goli tena?Mbappe kafichwa sana leo, kwa hii defense ya atletico
Hajafichwa ila amejificha, ni kweli hatuna kiungo wa kuwachezesha foward wetu, ila sasa ajiongeze,Mbappe kafichwa sana leo, kwa hii defense ya atletico
Sio mechi ya majaribio ila mbona kocha kafanya majaribio kumuweka diaz hiyo nafasi.hii sio mechi ya majaribio
Mzee wetu huwa anakariri sana, hujui kumpa mchezaji nafasi ajaribu, atahangaika na mchezaji mmoja wakati ana mbadala kibao, halafu sasa hata akimpa nafasi Güler anataka acheze pembeni na sio kati kati.Angemjarubu Guller labda
Hata game dhidi ya Betis alipotea hivyo hivyo., kiukweli with Brahim kwenye mid tuna kazi ya ziada.,Sio mechi ya majaribio ila mbona kocha kafanya majaribio kumuweka diaz hiyo nafasi.
Umeona alichokicheza Diaz hapo katikati?
Anapoteza mipira hovyo na hajui hata kufanya making kila muda hayupo eneo sahihi
Ni vurugu tupu angècheza guller añgefanya zaidi ya vile
Mbona mkuu Diaz kajitahidi kucheza vizuri tu kwa nafasi yake, waliotuangusha leo ni cama na Tchouameni wameshindwa kulink vizuri na defence, Kuna mda unaona valverde kabisa anapambana mpk anazidiwa no backupSio mechi ya majaribio ila mbona kocha kafanya majaribio kumuweka diaz hiyo nafasi.
Umeona alichokicheza Diaz hapo katikati?
Anapoteza mipira hovyo na hajui hata kufanya making kila muda hayupo eneo sahihi
Ni vurugu tupu angècheza guller añgefanya vizuri zaidi ya vile maana ile ndio nafasi yake sahihi