Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Kuna mabadiliko kidogo kwenye game ya leo, kati kati ya Uwanja atasimama Tchouameni na wenzie Camavinga na Brahim, game iliyopita Brahim alipotea sana, sijui leo itakuwaje.
Daah hii game labda tutegemee counta.

Maana hatuwezi kumiliki mpira kupitia camavinga na braihim ni mzuri akicheza pembeni sio kwenye playmaking
 
Rodrygo ni mzuri kucheza hapo zaidi ya Brahim, acha tuone kama watakuwa wanapokezana, ila kwa aina ya team kama Atletico, tunahitaji watu wenye akili nyingi sana hapo kati.
Modric hawezi tena mikiki mikiki, so option aliyobaki nayo Mwl ni hiyo tu.
 
hii sio mechi ya majaribio
Sio mechi ya majaribio ila mbona kocha kafanya majaribio kumuweka diaz hiyo nafasi.

Umeona alichokicheza Diaz hapo katikati?

Anapoteza mipira hovyo na hajui hata kufanya making kila muda hayupo eneo sahihi

Ni vurugu tupu angècheza guller añgefanya vizuri zaidi ya vile maana ile ndio nafasi yake sahihi
 
Ni vurugu tupu angècheza guller añgefanya zaidi ya vile
Hata game dhidi ya Betis alipotea hivyo hivyo., kiukweli with Brahim kwenye mid tuna kazi ya ziada.,
 
Sio mechi ya majaribio ila mbona kocha kafanya majaribio kumuweka diaz hiyo nafasi.

Umeona alichokicheza Diaz hapo katikati?

Anapoteza mipira hovyo na hajui hata kufanya making kila muda hayupo eneo sahihi

Ni vurugu tupu angècheza guller añgefanya vizuri zaidi ya vile maana ile ndio nafasi yake sahihi
Mbona mkuu Diaz kajitahidi kucheza vizuri tu kwa nafasi yake, waliotuangusha leo ni cama na Tchouameni wameshindwa kulink vizuri na defence, Kuna mda unaona valverde kabisa anapambana mpk anazidiwa no backup
 
Back
Top Bottom