Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,352
- 2,160
Eneo lile halihitaji mtu mwenye mapepe linahitaji mafundi fundi, kama hujui kulainisha mpira basi ujue kumsoma mpinzani na kukaa kwenye njia ili kutegua mitego.Hata game dhidi ya Betis alipotea hivyo hivyo., kiukweli with Brahim kwenye mid tuna kazi ya ziada.,
Hapana cama na tchou wameponzwa na alie juu yao.Mbona mkuu Diaz kajitahidi kucheza vizuri tu kwa nafasi yake, waliotuangusha leo ni cama na Tchouameni wameshindwa kulink vizuri na defence, Kuna mda unaona valverde kabisa anapambana mpk anazidiwa no backup
Valverde ametuokoa mara mbili, anajitahidi sana, halafu nindhani ingekuwa poa tukahamishia jiko upande wa Rodrygo, ule upande wa Vini hakuna kitu, Rodrygo na Co wafanye kupika Vini na mwenzie wabaki kutafuta nafasi tu za kufunga,Mbona mkuu Diaz kajitahidi kucheza vizuri tu kwa nafasi yake, waliotuangusha leo ni cama na Tchouameni wameshindwa kulink vizuri na defence, Kuna mda unaona valverde kabisa anapambana mpk anazidiwa no backup
Hawezi kuoffer zaidi ya hapo, na kupita hizi backline za atletico inahitaji kiungo mbunifu otherwise tuendelee kutegemea counter attack tu.Hapana cama na tchou wameponzwa na alie juu yao.
Diaz kacheza vizuri ila sio kwa nafasi aliyoicheza.
Hivyo alivochexa ilitakiwa acheze forward kule sio eneo la kati
Kiufupi kafanya kazi nje ya misingi yake.
Ko hata ufanye vizuri vipi lazima utaangusha tu watu.
Hata tukipoteza hii game kwa tofauti ýa goli moja bado nina imani tutatoboa.Hawezi kuoffer zaidi ya hapo, na kupita hizi backline za atletico inahitaji kiungo mbunifu otherwise tuendelee kutegemea counter attack tu.
Counter yenyewe Mbappe anafosi afunge yeye Vini nae ivyoivyo bora Rodrigo hao jamaa wawili wanauchoyo sometimesHawezi kuoffer zaidi ya hapo, na kupita hizi backline za atletico inahitaji kiungo mbunifu otherwise tuendelee kutegemea counter attack tu.
Baada ya kuona matokeo yetu arsenal wenyewe wanajutaEmirates wanasubir….wazee wa teta ball
Quater final ni April?!Baada ya kuona matokeo yetu arsenal wenyewe wanajuta
Diaz amenikumbusha ule msemo;Mbona mkuu Diaz kajitahidi kucheza vizuri tu kwa nafasi yake, waliotuangusha leo ni cama na Tchouameni wameshindwa kulink vizuri na defence, Kuna mda unaona valverde kabisa anapambana mpk anazidiwa no backup