Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hata game dhidi ya Betis alipotea hivyo hivyo., kiukweli with Brahim kwenye mid tuna kazi ya ziada.,
Eneo lile halihitaji mtu mwenye mapepe linahitaji mafundi fundi, kama hujui kulainisha mpira basi ujue kumsoma mpinzani na kukaa kwenye njia ili kutegua mitego.

Sasa huyu dogo anaruka ruka tu kama anacheza winga
 
Mbona mkuu Diaz kajitahidi kucheza vizuri tu kwa nafasi yake, waliotuangusha leo ni cama na Tchouameni wameshindwa kulink vizuri na defence, Kuna mda unaona valverde kabisa anapambana mpk anazidiwa no backup
Hapana cama na tchou wameponzwa na alie juu yao.

Diaz kacheza vizuri ila sio kwa nafasi aliyoicheza.

Hivyo alivochexa ilitakiwa acheze forward kule sio eneo la kati

Kiufupi kafanya kazi nje ya misingi yake.

Ko hata ufanye vizuri vipi lazima utaangusha tu watu.
 
Valverde ametuokoa mara mbili, anajitahidi sana, halafu nindhani ingekuwa poa tukahamishia jiko upande wa Rodrygo, ule upande wa Vini hakuna kitu, Rodrygo na Co wafanye kupika Vini na mwenzie wabaki kutafuta nafasi tu za kufunga,
 
Hapana cama na tchou wameponzwa na alie juu yao.

Diaz kacheza vizuri ila sio kwa nafasi aliyoicheza.

Hivyo alivochexa ilitakiwa acheze forward kule sio eneo la kati

Kiufupi kafanya kazi nje ya misingi yake.

Ko hata ufanye vizuri vipi lazima utaangusha tu watu.
Hawezi kuoffer zaidi ya hapo, na kupita hizi backline za atletico inahitaji kiungo mbunifu otherwise tuendelee kutegemea counter attack tu.
 
Back
Top Bottom