Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,502
- 6,049
Ancelloti ni muoga sana kuwakaripia wachezaji wake., yaani hata Zidane tu anamshinda,Ni mchezaji mzuri ana uthubutu, skills na mwepesi sema ndio hivyo hana adabu na waliomzunguka wanamlea sana.
Ilitakiwa awe chini ya kipara Pep au Mourinho angenyooka huyu.
Ninatamani kesho apate huo utulivu, maana tunahitaji utulivu wa kila kitu kesho, Cholo ninajua atafanya kila analoweza hata ikibidi nje ya uwanja ili washinde,Lakini wajameni angalieni tena goli la Vini jr. Huyu mwamba angekuwa na utulivu kichwani kama ule wa Toni Kroos au Marco Asensio angewatandika kila siku. Tatizo huyu kichwani ana utoto sana
ATLETICO watacheza kwa discipline sana, watajihami, watatumia LB & RB (backs), na wings wao kuwa aggressiveNinatamani kesho apate huo utulivu, maana tunahitaji utulivu wa kila kitu kesho, Cholo ninajua atafanya kila analoweza hata ikibidi nje ya uwanja ili washinde,
Ninatamani kesho apate huo utulivu, maana tunahitaji utulivu wa kila kitu kesho, Cholo ninajua atafanya kila analoweza hata ikibidi nje ya uwanja ili washinde,
ATLETICO watacheza kwa discipline sana, watajihami, watatumia LB & RB (backs), na wings wao kuwa aggressive
Sana aisee, hawezi kubali kirahisi kupigwa mechi 3 consecutive 😀Simeone always ni defensive na anajua kuwajenga kisaikolojia wachezaji wake. Wakatalani wako vizuri lakini juzi tu hapa ka score mara 4. Kwahiyo kesho game itakuwa ya kusisimua.
Ingine hii hapaPicha imepigwa saa 7 usiku
Naam Ngoma inaenda sare hii Atletco Madrid nje.
Wasenge wanakaba kama vibaka wa keko mpira gani wakiboya hivi timu nzima inakaba
Kila unakoweka kambi lazima kuna watu watalia.Naweka Kambi hapa