Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Ni mchezaji mzuri ana uthubutu, skills na mwepesi sema ndio hivyo hana adabu na waliomzunguka wanamlea sana.

Ilitakiwa awe chini ya kipara Pep au Mourinho angenyooka huyu.
Ancelloti ni muoga sana kuwakaripia wachezaji wake., yaani hata Zidane tu anamshinda,
Ile game ya juzi tulipata sana shida dakika za jioni kwasababu hatukutumia nafasi tulizozipata vizuri.,
 
Lakini wajameni angalieni tena goli la Vini jr. Huyu mwamba angekuwa na utulivu kichwani kama ule wa Toni Kroos au Marco Asensio angewatandika kila siku. Tatizo huyu kichwani ana utoto sana
Ninatamani kesho apate huo utulivu, maana tunahitaji utulivu wa kila kitu kesho, Cholo ninajua atafanya kila analoweza hata ikibidi nje ya uwanja ili washinde,
 
ATLETICO watacheza kwa discipline sana, watajihami, watatumia LB & RB (backs), na wings wao kuwa aggressive

Simeone always ni defensive na anajua kuwajenga kisaikolojia wachezaji wake. Wakatalani wako vizuri lakini juzi tu hapa ka score mara 4. Kwahiyo kesho game itakuwa ya kusisimua.
 
Picha imepigwa saa 7 usiku
 

Attachments

  • 20250312_125905.jpg
    20250312_125905.jpg
    297.6 KB · Views: 1
Jamaa wametuwahi mapema sana., jaokuwa team imerudi mchezoni bado hatujafanikiwa kutengeneza hatari kubwa.
Ninadhani tuangalie namna ya kupiga kutoka nje, kwasababu kuingia na mpira kwenye box sio rahisi, jamaa wanakaba haswa.
 
Ht tumepigwa 1, Bellingham, vin, mbappe, Rodrigyo wamepotea.

Tshou yupo vizuri ila sio sana second half inahitajika awe bora zaidi.

Modric kacheza vizuri.

Rudiger sometimes ana ka utoto flan

Anadhani Acensio ameshakomaa kiivo.

Hili goli linarudi tukitulia.
 
Back
Top Bottom