Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,502
- 6,049
Ancelloti ni muoga sana kuwakaripia wachezaji wake., yaani hata Zidane tu anamshinda,Ni mchezaji mzuri ana uthubutu, skills na mwepesi sema ndio hivyo hana adabu na waliomzunguka wanamlea sana.
Ilitakiwa awe chini ya kipara Pep au Mourinho angenyooka huyu.
Ile game ya juzi tulipata sana shida dakika za jioni kwasababu hatukutumia nafasi tulizozipata vizuri.,