Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
Duh!! DDG haji huko bana anabaki MUFC, Chicha na CR7 wanawatosha...... Lol
Naona mmekuwa wakali kweli poleni sana yataisha ni kipindi cha mpito tu ila vijembe ndo vinafanya mambo yanoge na timu isonge mbele.
De Gea mbona anarudi home.
Kuna watu wanakejeli badala ya kutania, ndio maana inabidi tuwe wakali kidogo. Penye ukweli tunakubali, ila kwenye uzushi hapana.



