Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Mark my words, Bale will not leave Real Madrid at any cost. because he wants to prove wrong his critics. As he said in many of his recent interviews that he'll do better next season in Real. Akiondoka msimu huu labda liwe shinikizo kutoka Real Madrid lakini sio yeye, he doesn't want to be counted as a failure.
Yup! Safe to say he's safe for another season. But if he continues in that form next season anaenda bila ubishi.

I also see Cristiano and Bale wana matatizo, the latter anajazwa maneno kwamba for him to shine inabidi ampuuze Crynaldo na afanye mambo kivyake, that will cause unrest in the dressing room. Ubaya au hasara kwa Bale ni kwamba, Crynaldo ana Ramos na Iker kama washkaji + the whole team, Bale ana Modric tu. Crynaldo ana Jorge Mendes who's well connected at the club pia, he makes the club more money through his image na ana-deliver goals.

Bale should never go against Crynaldo, coz he'll never win, not at Real Madrid.
 
[12:37, 15/05/2015] Redondo: Benz nasikia alimind juzi. Inasemekana alisema alikua yuko vizuri kuendelea na game sema jamaa kama kawaida yake. Kuna watu hawaguswi.

[12:39, 15/05/2015] D: Yaani Carlo ni bibi sana, jamaa alikuwa anatupa uhai sana. Na Carlo mwenyewe alisema kabla ya game kwamba Benzo lilikuwa 100% fit

[12:39, 15/05/2015] Redondo: Full kukariri. Asiposepeshwa sitaelewa kabisa.

[12:43, 15/05/2015] D: Mwenyewe akibaki nasusia games zote, kwanza nageuka home this July so ntakuwa zangu busy na mishe, kisingizio tosha.

[12:43, 15/05/2015] D: We waache wafanye uduanzi

[12:44, 15/05/2015] Redondo: Hahaaah! Noma. Nimeona Goal wanasema Carlolina ameshasign a non binding contract with Citeh.

[12:44, 15/05/2015] Redondo: Sema huyu jamaa habaki.

[12:44, 15/05/2015] Redondo: Amecheksha waziwazi kabisa.

[12:47, 15/05/2015] Redondo: Wato wana manenooooo.

[12:47, 15/05/2015] Redondo: Sacchi mkuda sana. Anasema ''Ronaldo hasn't beaten an opponent in three months.''

[12:47, 15/05/2015] D: Mi anapoenda wala sijali, asepe tu. Nilim-doubt kabla hata hajatia maguu, we unakumbuka. Wale bata wa Real Madrid futbol blog tumezinguana sana hizi mambo. Mou nae ilikuwa hivyo hivyo

[12:49, 15/05/2015] Redondo: Nakumbuka. Mou tulibishana sana. Nikakuambia tumpe muda pengine anaweza akatusua ukagoma kabisa. Tena tulikua tunachat niko Chugga, nakumbuka hadi nilipokua. Carlolina hivyo hivyo hukumtaka.

[12:49, 15/05/2015] Redondo: Na hata wakati tunachukua UCL last year bado ulisema unashangilia kombe tu maana ulikua unaona tumebahatisha.

[12:52, 15/05/2015] D: Ila saivi kwa Klopp na Zizou nina imani sana, yaani sina doubt nao kabisa. Atakayechukua kati yao i hope they do well

[12:52, 15/05/2015] D: Angalau wanajua mpira
 
55-35, Half Time. El Chicos going harder for La Novena. Hold on tight hombres, Vamonos!!
 
Nos vamos al descanso con 20 puntos de
ventaja (55-35). Impresionante actuación de
@Ayón y explosivo #Rivers . Determinate
nuestro %T3
 
Back
Top Bottom